Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
Where will English take you to?
Tafadhali tofautisha lugha na maarifa. Binafsi ningefurahi siku moja kusikia mtu anasema kuwa mimi ni mchumi ua mhandisi lakini siwezi kuzungumza kiingereza kama ambavyo tunakiri bila tatizo kuwa hatuwezi kuzungumza kifaransa. Tukifikia hapo tutakuwa tumetatua walau tatizo muhimu kwenye suala la lugha na maarifa. Sisi tunakosa maarifa tunasingizia lugha. Hivyo vitu siyo sawa! Kwa hali ilivyo sasa ni vurugu tupu. Kiingereza hatuji na hata kiswahili pia.
Dark City it will not be practical for all Tanzanians travelling abroad to go with translaters.I have met a lot of Tanzanians educated at home now working in Sadc countries and they all agree that at the beginning their communication skills were below par and they had to improve to cope.As long as we do not accept that we have a problem it will always be difficult to rectify.