Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Kapitie nondo zako vizuri ndio uwe unaanzisha uzi wa kupotosha watu.....kosa dogo ulilolifanya kuonesha hukielewi unachokiandika ni tafsiri ya Roman Catholic sio Kanisa la rumi.... Siku nyingine ukitaka kuwadanganya wanaojua zaidi yako jipange sana
HIVI ROMAN NA RUMI NI SAWA ?
 
Duhhhh yaani kila nikiingia JF ndani ya hizi wiki mbili lazima nione kitu kuhusu kanisa katoliki.

Na hii mada mkuu haina kichwa wala miguu.
wasabato ktk siku za katibun zameliamulia kanisa katoliki.. kwa chuki zao ila wangejua sie tunaifahamu sabato yao tulivyowapotezea!!!
 
Mimi kama Mwanadamu nimekusamehe BURE ...maana huna unacho fahamu katika Dini...ni kama MFAMAJI...

Acha kutapatapa...unajielezea mwenyewe mapungufu yako..
 
Mkuu nimekuelewa japo umeongelea mambo juu juu tu ila nina kaswali kadogo hapa

Ikiwa dini ya uislamu ilianzishwa na wakatoliki na hata Qur'an kuandikwa na wao kwa kuchukua baadhi ya maandiko kutoka katika kitabu cha Torati

Inakuwaje kitabu hiki cha Qur'an mpaka leo lwa miaka hiyo 600 kisipunguzwe au kuongezwa chochote ndani yake kama inavyofanywa kwa Biblia?

CC impongo
naomba kununua kesi (ndani ya mjadala)
kama mtu aliweza kutengeneza ushawishi wa kuunda islam kama ndicho chombo mbadala, anashindwaje mbinu ndogo ya kuendelea kuedit biblia?
 
Ukatoliki ulianza miaka mingi tu baada ya Yesu Kupaa. Kabla ya hapo kulikuwa nini?
Kulikuwa na Ukatoliki...

Unapashwa
Nipashwe na kitu gani..? Mimi wa Baridi...??

kukumbushwa sara yenu
Umeandika nini hicho....? Ndio maana nikakuuliza umeshawahi ugua kichaaa...???

na "NASADIKI", Huwa inasemaje? Au nikukumbushe "... nasadiki katika kanisa takatifu katoliki ya roma".
Nasadiki siyo sala...
Chukua kitabu chochote halafu angalia kama utaona neno Roma...! Ukiona njoo hapa piga screen shot hiyo page...

NB: Creed inayotumika ni ya Nicea....

Ina maana huwa mnakiri kitu ambacho huwa hakipo?
Kitu gani..??
 
Kulikuwa na Ukatoliki...

Nipashwe na kitu gani..? Mimi wa Baridi...??

Umeandika nini hicho....? Ndio maana nikakuuliza umeshawahi ugua kichaaa...???

Nasadiki siyo sala...
Chukua kitabu chochote halafu angalia kama utaona neno Roma...! Ukiona njoo hapa piga screen shot hiyo page...

NB: Creed inayotumika ni ya Nicea....

Kitu gani..??

Ungelikuwa muungwana hata japo kwa sehemu ukawa na hofu ya Mungu, ungelionyesha nia ya kujadili na siyo nia ya kushinda wakati uwezo, nguvu wala sababu hiyo huna.

Ujinga ni utumwa. Halafu bado unajiona eti unamjua Mungu, Mungu yupi? Wa Warumi?

Unakimbilia matusi. Haya sasa sema hakuna katoliki ya roma tena kwa kuwa hata unachokitetea hukifahamu.

SALA YA IMANI
» SALA ZA KATOLIKI » SALA YA IMANI


Mungu wangu, nasadiki maneno yote linalosadiki na linalofundisha kanisa katoliki la Roma; Kwani ndiwe uliyefundisha hayo, wala hudanganyiki, wala hudanganyi. Amina
Sala iliyopita: AMRI ZA KANISA

Sala inayofuata: SALA YA KUOMBEA FAMILIA.

Usisahau kushare sala hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!
 
Ukatoliki ulianza miaka mingi tu baada ya Yesu Kupaa. Kabla ya hapo kulikuwa nini?

Unapashwa kukumbushwa sara yenu na "NASADIKI", Huwa inasemaje? Au nikukumbushe "... nasadiki katika kanisa takatifu katoliki ya roma".

Ina maana huwa mnakiri kitu ambacho huwa hakipo?

Ukristo wa Katoliki uko vipi?
Huwa wanasema nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la Mitume nadhani hiyo la Roma sijaiona kwa misale na hata English version yake pia haisemi hivyo.
 
Ungelikuwa muungwana hata japo kwa sehemu ukawa na hofu ya Mungu, ungelionyesha nia ya kujadili na siyo nia ya kushinda wakati uwezo, nguvu wala sababu hiyo huna.
Umejuaje sina.....??Huna unachojua zaidi ya porojo.....

Endelea kumtumikia shetani wa rumi.
Rumi ndio kitu gani ..?? Hebu kuwa Serious kidogo??? Unaposema Rumi unamaanisha nini hasa...??

Na sasa unaonyesha kabisa kwamba kweli uislam na uroma ni kitu kimoja kwa jinsi mlivyojaa matusi bila hoja.
Onesha tusi nililotukana hapa...?? Nakuuliza tena wewe una hoja...???

Hapa wewe imebaki kuvaa mabomu na kujitoa muhanga.
Ndo hoja yako hiyo...???

Ujinga ni utumwa.
Ndio maans mwanzoni kabisa nilikuuliza, ulishawahi ugua kichaa, au kwenye familia yenu kuna history of any psychiatric cases...??
 
Back
Top Bottom