Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
- Thread starter
- #21
Mnh! Ntamjaribu na namba mpyaLabda mwenzio simu imekwapuliwa na vibaka.
Mnh! Ntamjaribu na namba mpyaLabda mwenzio simu imekwapuliwa na vibaka.
Shida ni mapenziSasa shida iko wapi kama kasepa si basi
Sababu ni yeye ndie alianza kukuuliza kama umepima na ukamuhakikishia kuwa uko bieeee, mwenzio anaandaa vikao vya harusi sasa. Kapata atakacho subiri suprise!Ningehisi labda kapata alichokitaka ndo maana kakimbia
HahahaSababu ni yeye ndie alianza kukuuliza kama umepima na ukamuhakikishia kuwa uko bieeee, mwenzio anaandaa vikao vya harusi sasa. Kapata atakacho subiri suprise!
Kwani amezaliwa peke yake mwenye jinsia ya kikeShida ni mapenzi
Labda nikupe namba yake umuulize
ARVnikipima malaria nitapewa mseto
nikipima ngwengwe au ukimwi ntapewa nini??????