Ha ha ha. Upo mkuu? Walahi nimemisi post (majibu) yakoHayatuhusu. This is your private business. 100% Private. No more no less.
Huyo sio kondoo kweli, halafu na wewe unamwita mrembo.....????!!!!!Kutongozana ni raha sana lakini raha imezidi pale nilipoambiwa na msichana niliyemtongoza alipokubali tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri tu, sasa leo kaniambia eti mimi ni handsome lakini mimi najijua fika na hata wewe ukiniona huwezi kuniweka kwenye group la mahandsome. Mimi ni mwanaume wa kawaida tu.
Sasa wanajamii nisaidieni hivi inawezekana mwanamke akikupenda akuone wewe ni handsome wakatai mahandsome kibao wapo?? Au ni mbinu za kiwiziwizi.
Hili nalishangaa kwa sababu huyu kigolo ni mrembo sana, wanaume wanajigonga sana kwake, ni mwenye mkia mkubwa unaotingishika kama nini sijui, ana katumbo kadogo na nywele original za kuwakawaka. Kwa kweli ukimwona ukiwa mwanaume lazima viungo vikuu vitetereke kidogo.
Ni kiswahili hicho?Kakuzurisha huyo...
Hahaha kivipi mkuu, maana kundi linalomzunguka ni la mahandsomeinawezekana wew ni handsome kidogo kwenye kundi la wabaya
Cha ajbu nina kama mwezi na zaidi hajaniomba chochote na nikitoka nae anadai na yeye achangie bills lkn huwa nakataa coz hana tabia za kuchuna.Siku ukiombwa elfu 70 ya kusuka nywele saluni, urudi tena kwenye kioo ukajiangalie kama kweli wewe ni handsome au lah...
Mbona hujiamini mkuuu....
Unataka upendwe vipi??
Mm najua mapenzi yako hivi..
Ukiwa na demu anakupenda hata wanaume wengine atawaona maboya,,
Atakuona ww ni handsome kuliko wote, Atakuona ww ndo kidume, wengine atawaona wa kawaida sanaaa...
Lakini hii inategemea je a nakupenda kweli au ndo...
"girls are jus like bees for every flowering flowers, they jus want to suck it's juice and leave it with dry".
Kama anakupenda kweli utajua..
Lakini pia kama ni wale ambao anaongea na tabasamu usoni na kukuambia babe ur so white wakati wewe ni pure black.. Halafu unachekelea, hahhah mkuu ujue ukimpa kisogo ana ku ng'ong'a...
Mkuu hebu weka picha yake na yako hapa ili tuweze kutoa tathmini ya uhakika.
MMU raha sana sasa mkuu ungejuaje yaliyomo moyoni kwa kuangalia picha tuSasa kwanini usimuulize aliyekuambia hivyo?
Sisi tutajua vipi kama ni kweli au lah?
Ungeambatanisha na picha ili tukuambie kama yaliyomo yamo.
Tumeshagegedana sana tuSasa Unaenda gegeda lini
Hilo naliona kwa mbali mkuu, pia anafaa kiasi fulani bado namfatilia kwa karibuKila mwanaume ni handsome kwa mama yake mzazi na kwa mkewe
labda anataka awe mkeo
Mimi mwanaume wa dar, sio mvulanaHe he he! Asee! Wavulana bana!!
Acheni roho mbaya, sisi wenye kipato cha chini itakuwaje? Au kutakua na malipo ya kidogokidogo kwa awamu?Tukianza kulipia jf kwa mwaka 50,000 itakuwa raha sana....thread kama hizi huwezi kuzikuta