Kaniambia eti mimi ni handsome! Nimeshangaa sana

Kutongozana ni raha sana lkn raha imezidi pale nilipoambiwa na mschana niliyemtongoza alipokubali tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri tu, sasa leo kaniambia eti mimi ni handsome lkn mimi najijua fik na hata wewe ukiniona huwezi kuniweka kwenye group la mahandsome. Mimi ni mwanaume wa kawaida tu.

Sasa wanajamii nisaidieni hivi inawezekana mwanamke akikupenda akuone wewe ni handsome wakatai mahandsome kibao wapo?? Au ni mbinu za kiwiziwizi.

Hili nalishangaa kwa sababu huyu kigolo ni mrembo sana, wanaume wanajigonga sana kwake, ni mwenye mkia mkubwa unaotingishika kama nini sijui, ana katumbo kadogo na nywele original za kuwakawaka. Kwa kweli ukimwona ukiwa mwanaume lazima viuongo vikuu vitetereke kidogo.
Anaangalia jins ya kukuibia dogo kuwa makn
 
unaonekana unatokea dar
 
Jiamini kua wewe ni Handsome wake kwa sasa au kama unataka kujua kweli kweli weka picha yako tuone plz...mie sitokuficha ntakwambia kama anasema kweli au anakudanganya..........
 
Back
Top Bottom