Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,377
- 9,297
handsome huenda unapaka kari na piko sana kichwan kujicream, ndevu hazikawii zimeshatolewa means unajipodoa sana kaamua kusumarize tu kuwa uu handsome!, alafu nkwambie siri 1 mtu km anataka adumu na wew sana hawezi kukupa sifa hizo hadharan ila atakuwa anajidtambishia kwa watu kuwa anahandsome mkali mara nying akisikia watu wanasema kuwa uu mbaya anakuwa mkali juu yao,,,. au sifa hiyo inaelekea unapendaga masifa alaf bahir kutoa hela kwahiyo anatumia tiket hiyo ya misifa utoe hela,..