Tetesi: Kamanda Mihayo kuchukua nafasi ya Sirro Dar

Tatizo ni kwamba; Kwa kuwa mwajua kuwa JPM haambiwi cha kufanya mnatanguliza kuwataja taja watu ili kusudi hata kama ilikuwa bahati yake arukwe tu makusudi. Mlianza na Msangi, mkesema ni wa dini flan, sasa mmekuja na Mihayo, ili ikitokea mseme ni wa kanda flan.
Mwacheni JPM jamani, anajua afanyalo. Kama vip achague hata mwanaye, mbona Kabila alimrithi babake?? Huo si ukabila?? Si ukanda?? Achague amchaguaye, hata Bashite, tunataka mchapa kazi. IGP Mangu alitakiwa kutemwa long time ila alimwacha alambe lambe kidogo. Leo kamchagua Sirro tiyari maneno. Msiwaonee gere wenzenu. Kaoshe viatu vya Bashite, akusemee kwenye chai asubuhi uone ka jioni itafika hujalamba mzungu wa nne.
 
Dah mbona ndugu zetu wa upande hule ambao kwa maksudi wamesitisha kutenda dhambi mwezi huu wanatengwa sana na awamu him???

Mkuu;
Hata sisi kuna siku tutakula vya matawi ya juu. Sasa hivi tuacheni na swaum zetu. Ni kuwaza akhera zaidi sasa hivi. Sio, vyeo vya ulimwenguni.
 
Bwana awe nanyi wapendwa, baada ya kamanda siro kupanda cheo nafasi yake inaendwa kushikwa na ngosha boy kutoka mwanza naye ni kamanda mihayo

Kamanda mihayo kwa sasa ni mkuu wa opareshen ya kupambana na madawa ya kulevya

Nihayo tu nawasilisha

AMINA
Huyo hawezi bada ana ujana mwingi
 
Bwana awe nanyi wapendwa, baada ya kamanda siro kupanda cheo nafasi yake inaendwa kushikwa na ngosha boy kutoka mwanza naye ni kamanda mihayo

Kamanda mihayo kwa sasa ni mkuu wa opareshen ya kupambana na madawa ya kulevya

Nihayo tu nawasilisha

AMINA
Wale ndugu zangu wa Riadh wataisoma number awamu hii !!!
 
Nahamia chattle wiki kesho. Naona na form four yangu na kujua kisukuma I could be next IGP after Sirro.
 
Dah mbona ndugu zetu wa upande hule ambao kwa maksudi wamesitisha kutenda dhambi mwezi huu wanatengwa sana na awamu him???
Ukiwa na hamu ya kula kitimoto wakati imeharamishwa hapo ndo unatenda dhambi kwa makusudi. Kufunga ni moja ya nguzo kuu za dini. Ebu nitajie moja ya nguzo kuu za dini yako kama unayo.
 
Back
Top Bottom