Kama Mbowe angekuwa na busara angeivunja Sekretariati na kuiunda upya kuondoa wachumba/wapenzi wa wabunge 19

Dah, Mbowe alikiri kumuita Mdee Nairobi hotelini wakati Mdee keshasaliti chama.

Mbowe msanii.
Semeni vizuri hatutaki code language, Mdee anampooza Mbowe, kwa hiyo Mbowe, Ben Kigaila, Salum Mwalimu na wengine ni maarchitect wa covid 19 kwenda bungeni.

Na kama hivyo ndivyo Mbowe na sekretariet yake wanatafuta jinsi ya kuwarudisha wapenzi wao CHADEMA. Kikwazo cha kwanza ni Lissu, hapo akatumwa Ezekiel Wenje akagombee umakamu mwenyekiti wa CHADEMA ili asiingi kwenye kamati ya maamuzi.

Wengine Lema, Heche na Msigwa ambaye tayari ameushatolewa watolewe kwenye uongozi ili iwe rahisi kuwarudisha covid 19 mtu mwingine inabidi kuchunguzwa sana ni Pascal Mayalla kwa hawa covid 19 anawatetea mno sijui ana maslahi gani. Mbowe mwenye hekima pesa (za mama Abdul)na ngono zimemfanya kukompromise hekima yoote. Akishinda Lissu na team yake ina maana sekretariet yake na wake na mahawara zao ndani ya covid 19 wameenda na maji lazima akomae mpaka mwisho. Akikaa pembeni hawa wapambe watasurvive vipi ndani ya CHADEMA?
 
Ninachowapenda Makamanda mna moyo sana, tena kuna wanaoamini mama Sami hashindi mitano tena.

Yani Mbowe atawapa fundisho kubwa sana kwamba uchaguzi wa chama cha siasa siyo uchaguzi wa TLS.

Uchaguzi wa Bavicha aliyeshinda anastahili, simjui lakini nimesoma wasifu wake tu ana sifa zote bila kujali anamuunga mkono nani kwenye Uwenyekiti.

Mbowe atawaduwaza.
Utaduwaa mno!
 
Back
Top Bottom