Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,057
- 55,952
Zimekuwepo na hoja zinajengwa za kudai eti ndugu Mbowe ni mwenye busara. Hata hivyo mimi napinga hii hoja kutokana na matendo ya mwenyekiti.
Busara haipimwi tu kwa kauli bali inapimwa kwa maamuzi na hata matendo.
Hebu fikiria Jambo hili. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Mwenyekiti ndiye anayeteua wajumbe wa Sekretariat kwa maana ya katibu mkuu, naibu katibu mkuu bara na naibu katibu mkuu Zanzibar.
Kwa hivi sasa Naibu katibu mkuu upande wa Zanzibar ni Salum Mwalimu na naibu katibu mkuu bara ni Benson Kigaila. Wote hawa wameteuliwa na Mbowe.
Kwa bahati mbaya, Salum Mwalimu na Benson Kigaila wake/wapenzi wao ni miongoni mwa wale wanawake 19 walioingia bungeni kwa kufoji na kughushi nyaraka za chama.
Cha kushangaza, hawa akina Benson Kigaila, na Salum Mwalimu ni wajumbe wa kamati kuu ambayo kimsingi ndiyo iliyojadili kosa la akina mama na pia kupanga hatua za kuchukua dhidi ya hawa akina mama, ikiwemo kukusanya ushahidi wa kuwapeleka mahakamani. Tena hawa akina Kigaila na Mwalimu ndiyo wanaopaswa kuifanya hiyo kazi.
Hapa kuna mgongano wa maslahi mkubwa ajabu.Je hatuoni kuwa hawa wajumbe watakapokuwa nyumbani/kitandani na wake/wapenzi wao lazima watatoa siri za nipango ya kamati kuu dhidi ya hao wake zao?
Je Mbowe analijua dili zima ndiyo maana kajizima data?. Kwq nini hakubadili wajumbe wa Sekretariat wakati kuna mgongano wa maslahi wa wazi kabisa?.
Ziko wapi hizo busara za Mwenyekiti wakati anashindwa kuilinda taasisi na madudu mazito kama haya?.
Kama hizi ndo busara za Mbowe basi kwa kweli upinzani hauhitaji busara zenye upofu kama hizi!