Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

Braza mafuta yapo. Tuna Serikali ya ajabu ndo maana watu wanajiachia tu.

Nimekaa Chato miezi miwili nimetoka leo, karibu kila siku ukienda sheli unaambiwa mafuta hakuna, lakini wadau wanaofanya kazi sheli wanatusanua wese lipo wanasubiria bei ibadilike saa sita usiku wa siku hiyo ama siku 2/3 zinazofuata! Mfano tangu jana mafuta hawatoi wanadai hayapo ila inasemekana wanasubiri alhamisi bei ipande!

Ajabu ni kuwa magari ya Serikali (halmashauri etc) yanauziwa mafuta katika sheli hizohizo. AJABU ZAIDI ni kuwa wale wauzaji wa mtaani kwa vichupa wanakamatwa kwa kisingizio cha kupandisha bei! Sasa bidhaa imeadimika bei inabakije constant? Principle ya supply & demand inaepukikaje?

Serikali iache uzembe! Watu wanahujumu uchumi mchana kweupe mamlaka zimelala tu zinawaza kugawa bandari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna ,nimeahirisha safari mhimu . Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo kama . Endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua serikali imeshatekwa
UKIONA BEI MPYA ZIMETOKA JUU NA UKOSEFU WA MAFUTA UMEISHA HII NCHI TAMU SANA KILA MTU ALE KWA MIKONO YAKE CCM OYEE
ELIMU YA KATIBA KWA MIAKA 3 OYEE
 
Nilikua na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna ,nimeahirisha safari mhimu . Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo kama . Endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua serikali imeshatekwa
Tayari bei imepandishwa usiku huu!
 
Nilikua na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna ,nimeahirisha safari mhimu . Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo kama . Endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua serikali imeshatekwa
Ungeanza muda huu tu .
 
Serikali mafreemasons na illuminati haina aibu, haitupi uharo maana ni ya mpito tu atake asitake yeye ni wa mpito tu
 
Yenyewe haijali hata kama utaidharau. Kazi na iendelee
 
Back
Top Bottom