Kafulila: Taasisi zinazoongozwa walau kwa theluthi moja na Wanawake hupata mafanikio karibu mara 10 zaidi ya zile zenye Wanawake wachache Viongozi

Kafulila bado ni akili kubwa sana
 
Wanawake tunaweza tukiwezeshwa
Kafulila nimekuelewa sana
 
Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi

Kama wewe ni mwizi usijumuishe na wengine.

Kama wewe unamichepuko kila mkoa usijumuishe na wanaume wengine.

Hatuwi na magari mazuri ili wanawake watuone.

Kujenga kijijini haijawahi kuwa sababu ya wizi.

Punguza uchawa.
 
Labda angeleta research yake binafsi ,huwezi kuzungumzia maendeleo ya nchi kabla haujataja maendeleo binafsi ya watu.

Ishu ni moja tu uchumi duniani umeshikwa na wanaume ,licha ya nchi kama Marekani kuwapa sana kipaumbele kweny nyanda mbalimbali hata kweny vyuo ila bado wanawake hawajiwezi


1.Idadi kubwa ya mabilionea duniani ni wanaume
2.Idadi ya wanasayansi na wavumbuzi mbalimbali ni wanaume.
3.wataalamu wote wakubwa asilimia kubwa ni wanaume kudunia.

Hao wanawake wanatokea wapi ?
 
Tafiti zinasema pia wanawake wana excuse nyingi makazini kuliko wanaume
Mwanamke hana uhakika na kila anachofanya hawajiamini ndiyo maana hata leo neno maarufu ni remote iko Msoga
Angekuwa msela pale usingeona upuuzi huo
Mwambie apange safu ya wanawake wenzake huko kwa wingi alafu muone mambo yatakavyokuwa hovyo



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
JWTZ na polisi waondolewe wanaume wabaki wanawake tupu
 
Katika ulimwengu wa mafanikio,hapaangaliwi rangi,elimu wala dini,Bali ni jinsi gani unapanga na kufuata njia ya maendeleo.
Nadhani anachojaribu kuongea ni kuonekana katika ulimwengu wa ajira.
 
Simba akisifia simba wenzake ni kawaida. Ila simba kusifia swala, kuna walakini mkubwa.
 
Kwanini asijiuzuru nafasi yake ili mwnaamke akateuliwa ili tupate ufanisi wa haraka
 
I second you ...Nilipata department tena nilipelekwa baada ya hao wanawake kuwa kama wana ugomvi ,kila mtu ni kiburi.

Nilifika pale nikawa nashangaa nimepewa uongozi na wote tupo level sawa ...Balaa linaanza kila siku excuse mtu ana watoto watatu ,yule mwingine ana wawili.

Nilijuta ,excuse hata mafua anachukua sick sheet ya siku 2 au 3 , wavivu kazi umbea tu....Mtu anakuambia nimeacha watoto nyumbani halafu mfanyakazi hayupo basi anaondoka kazini
 
Pumbavu hata wakipata faidi 7 mara 70 haibadilishi uhalisia wa kuwa mapumzikio yetu na waliumbwa kuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…