MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,848
- 12,401
Brother me nawaheshimu sana hawa watu, sacrifice zao kwa ajili yetu sio za kubeza hata kidogo.Ahsante kwa kuwa Mzalendo mtafute na yule makengeza waukawa asome hii thread wakumbushe na wafuasi wake kuwa hii nchi imetoka mbali laiti enzi hizo kungekuwa na wenye maamuzi ya oyo kama ya Chama chake sijui hili Taifa leo lingekuwa wapi. Hongereni Watumishi wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa namna mlivyojitolea maisha yenu kwa ajili ya Taifa hili na muwapuuze wanasiasa wote UCHWARA wanaowavunja moyo. MUNGU AWABARIKI SANA
Kuna siku tumekamatwa sehemu tukapelekwa central, tukakutana na afande mmoja akatutukana sana, wenzangu wali-mind lakini moyoni me nikawa najiuliza, huyu jamaa ameacha familia, mke, nyumba na kila kitu na yupo hapa ku-handle walevi kadhaa wanaofanya vurugu baada ya starehe.... hivi ningeweza mimi kuacha wife na nyumba yangu kuanza kupuyanga Bongo usiku kucha.
Pamoja na mapungufu yao, hizo asilimia 10, zilizobaki 90 tunapaswa kuziheshimu