KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,691
- 8,891
Nimefuatilia leo ibada na Baba Askofu akasema binadamu tuna dhambi za asili na tuna kuvu la dhambi ya asili iliyoanzia kwa ADAM na Eva akasema wakati wakuumba dunia aliamru kitu fulani kikawa lakini alipofika kwa mwanadamu alitofaitisha amri na akasema natengeneza mwanadamu kwa mfano wangu mimi! Maana nikwamba sisi ni sehemu ya Mungu..Lakini najiuliza kabla ya uumbaji kulikuwa na nanini je Mungu kabla ya kuumba dunia na vilivyomo kulikuwaje??