JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

Jamaa ni Kanyarwanda kamekuja kujifanya kama intelligensia na namba ya simu kameweka eti kaongee na Rais wetu shenzii
Lazima tusiende kwa kubahatisha nimeweka namba mfuate maelekezo piga simu kwa kujua zaidi
Issue hipo wazi Taifa la Tanzania lipo chini ya Uongozi wa Roho Mtakatifu ndio maana ya Rais mwanamke sasa kama wewe utaki kujua sheria za Rohoni tukusaidie je????
 
Hupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Kuna sehemu nimekusoma nikagundua wewe tapeli. Tanzania ndo taifa lenye nguvu Duniani? We jamaa unatuonaje lakini? Ndo maana umekimbilia kuweka namba za simu. Tapeli wewe. Ndo maana huyo jamaa alikusikiliza akakuona dogo hujui kitu akakupotezea. Maana unaandika pumba. Mleta mada ana kitu atafika mbali. WEWE TAPELI.
 
Wanaweza kuanza kufanya ugaidi Tanzania wakopata support ya Rwanda na washirika, wanufaika wenzake mataifa ya magharibi. Hapo lazima kujipanga na kuusoma mchezo vizuri.

Ni vizuri kwenda kama jeshi la jumuiya ya EAC, AU au UN. Kwanini DRC wasiwakodi na kuwaita Warusi?
Warusi hawawezi enda kule watachapika. Kule mwituni kuna watu wake.
 
Waende tu hao Bongo movie watarudishwa kwa aibu kama wale mercenaries wa Kifaransa na Kiromania, jeshi letu linapaswa kusukwa liwe kama lile la enzi za Nyerere kuanzia kwenye drills, discipline na patriotism.
Kwa sasa hatuna soldiers wa kukabiliana na wale wahuni.
Hiyo geopolitical military influence tumeutoa wapi au unazungumzia enzi za Mchonga? Hivi tuna influence Kenya au Uganda au Zambia au wapi labda mimi ndiyo niko gizani?
Acha jeshi na intelijensia yake waendelee kulinda CCM dhidi ya vyama vya upinzani kwani huko ndiyo tuna uhakika hawategemei kuaibishwa na wala kuliaibisha taifa kwa ujumla wake.
Vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama wamejikita kwenye siasa zaidi na confidence uchwara eti tulimpiga Nduli Idd Amin Dada(history).
Nchi ilipofikia mijitu ya ajabu ndiyo wanapewa kipaumbele hapo unategemea nini!

Ova
 
Hapana JWTZ isiingie mashariki ya Kongo, wajikite tu kulinda mipaka yetu kwa nguvu kubwa. Viongozi wetu wasiongee chochote kuhusu huo mzozo wa DRC. Tuwe neutral kama Switzerland, ikiwezekana hata kwenye mazungumzo ya amani sijui nini tusijihusishe au tuwe washiriki tu but no comment. Tuhakikishe tu nchi yetu ni salama alafu fokasi yetu iwe kuajiri walimu mahiri kwenye mashule yetu ili kutengeneza kizazi cha wataalamu baadae.

Elimu ndio itatutoa kwa habari ya maendeleo ya kiuchumi, kiteknolojia, kijamii hata kisiasa. Si mmeuona mtaala mpya, hiyo ni step ya kwanza, angalia syllabus ya computer science kuanzia form one mpaka six, imagine tukiajiri walimu mahiri wakafundisha kwa umahiri na kujitoa kabisa, kuwe na exhibitions na maonyesho ya wanafunzi na mashindano baina ya shule na shule. Shule za private zitasaidia sana kwenye hili, hasa hasa hizi shule kali kali hapa Dar es Salaam na sehemu mbalimbali hapa nchini. Shule za private zikipata walimu wazuri ziwalinde, ziache kuwaondoa kwa upumbavu, ujeuri na ujinga hatuna mda wa kupoteza we have a generation to build.

Wahitimu wetu wa BSc Computer Science, IT, IT systems, ICT with business, na wale wa BSc with Education kwenye hayo mambo ya IT wakafundishe wasione soo hamna kuwaza mshahara wa ualimu mdogo ela kitu gani tujenge kizazi kijacho imara. Mbali na kufundisha wapoteze mda wao mwingi Github, Stack Overflow wakazane sana kusoma the Bootstrap documentation, Oracle documentation na kujifunza modern frameworks kama vile angular javascript n.k

Najua wengine watasema hatuhitaji walimu tunahitaji wajasiriamali, ooh! sijui jiajiri jiajiri jiajiri. Hapana walimu ni muhimu sana sana sana kuliko wajasiriamali. Ikiwezakana watu wenye uwezo wagawe au wauze maduka yao wakafundishe. Ualimu, ualimu ualimu. Ikiwezekana kila mtu atake kuwa mwalimu siyo kwasababu inalipa bali kwasababu itaikomboa Tanzania yetu kwenye ishu za maendeleo kiuchumi, kijamaa n.k

Wazee waache kuwafanyia vijana mauzauza yaani mtu ukipiga stori za kisiasa siku moja ukamkosoa kiongozi wa kisiasa siku moja basi unafuatiliiiiwaaaa mauzauza mauzauza mauzauza, ina maana haturuhusiwi tena kuzungumza habari za nchi yetu.

Ndivyo hivyo aisee kwenda Rwanda sijui Kongo hakutusaidii chochote, hata kama Rwanda anataka Kongo iwe koloni lake muacheni si inatuhusu nini bana. Kitakachotusaidia ni kuwekeza kwenye elimu.

Sijawahi mtukana rais naweza taja jina langu. mm ni mwalimu Robert Mdee namba zangu ni
0685967259 - airtel
0655980538 - tigo

Moja wapo ya kazi zangu ni hii hapa Mdee Academy nisaidie tafadhali kupromote kazi yangu, kwa bahati mbaya vijana wetu wako bize kumuangalia Kagame badala ya kuangalia vitu vya maana. Kagame Kagame, Kagame bongo mm mwenyewe ni mrefu na mwembamba vilevile.
Nimesoma paragraph ya kwanza ya haya mashudu nikaacha...
 
Kuna sehemu nimekusoma nikagundua wewe tapeli. Tanzania ndo taifa lenye nguvu Duniani? We jamaa unatuonaje lakini? Ndo maana umekimbilia kuweka namba za simu. Tapeli wewe. Ndo maana huyo jamaa alikusikiliza akakuona dogo hujui kitu akakupotezea. Maana unaandika pumba. Mleta mada ana kitu atafika mbali. WEWE TAPELI.
Siku zote shetani akimfunga mtu anaweka Walinzi na mlinzi wa kwanza anakuwa mtu mwenyewe akitaka kusaidika anakuwa kama kambale anateleza maneno yanakuwa mengi hili abaki kwenye hilo tatizo.
Ujumbe wangu umeandikwa kwa password kama huna Roho Mtakatifu utausoma kama Torati wakati kuna maana kubwa imeandikwa huko.
Narudia kwa sasa na hata Milele hakuna Taifa linaweza shindana na Tanzania hata wafanye nini. Sasa mtaanza kushuudia kwa macho ya nyama nyie mnaoitaji kuona kwa macho.
Hakuna anayeweza kubadili hilo hata waende wapi it is a done deal.
Asante Yesu.
 
Hupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Mental Health is Real!
 
Hili jambo la Congo linanifikirisha sana tena kwenye mambo matatu!

a) Limepamba moto sana tukiwa tunaandaa mkutano wa Nishati hapa DSM,mpaka siku ya kufanyika kwa mkutano tarehe 27-28 waasi walikuwa wameshafika Goma. Sisi tuko busy na mkutano wa Wakuu wa nchi wa Afrika,Rwanda na M23 wako wanaitaabisha DRC.

Swali langu, kwanini iwe nyakati hizo?

b) Kabla ya mkutano wa Nishati kufanyika hapa DSM,kuna ugonjwa unaosemekana ni 'Marburg' umezuka eneo la Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera,umeua watu,ila inasemakana huu ugonjwa umetokea Rwanda.

Nchi ikawa busy kufuatilia huu ugonjwa,viongozi wengi wa ndani mpaka 'WHO'nao wako huko mpaka leo hii.

Swali langu,je, ni kweli umetokea Rwanda? Je, huko Rwanda huu ugonjwa upo? Na je, kama siyo 'Marburg' ni kirusi gani,na kwanini kitokee Rwanda,kwanini kitokee sasa hivi wakati Rwanda wako 'busy' kuitwaa Goma,wakati sisi tuko 'busy' na mikutano ya chama (CCM),CHADEMA,na NISHATI?

c) Watu wakijaribu kuhoji kwanini Rwanda anaisumbua Congo, kwanini Tanzania isiingilie kati kuwakomboa Wakongo, kwanini JWTZ isiwarudishe nyuma M23?

Angalia majibu kutoka kwa wachangiaji.

1.M23 ni jeshi imara sana Tanzania msiende mtakufa.

2.Kagame ni mzoefu wa vita Tanzania hamumuwezi.

3.Kagame ana Intelijensia kali ,ana silaha kali sana,ana drone ataiteketeza Tanzania na JWTZ.

4.Kwani tukipigwa na kufa lakini tumeikomboa Congo kwa faida kuna shida gani,mnatuonea huruma ya nini? Kwanini ikitajwa Tanzania na JWTZ kwenye mgogoro wa Congo watu mnatahayari? Hivi,Kinyago tulichokichonga wenyewe kinaweza kututisha kweli!?

Swali langu,tunauliza kwanini JWTZ isiwafurushe M23,wanaojiita Watanzania ndivyo wanajibu hivyo, tena wengine hawajui hata Kiswahili vizuri lakini eti nao wanajifanya ni Watanzania.

Kama Rwanda hahusiki, mbona likija jambo la M23 kupigwa anahusishwa Kagame? Kwahiyo Kagame siyo Mnyarwanda ila ni Kiongozi wa M23?

Mtoa hoja nakuunga mkono.Ila naongezea tena tuwe na mipango ya muda mrefu,Burundi awe sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama alivyo Zanzibar, halafu tuwe na 'access' ya kuingia Congo pasipokuwa na kuzuizi chochote.

Ahsante.
 
'Mathayo 7:6'
6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Kumbe issue sio Taifa ni watu wake kukosa maharifa ikimaanisha kumkosa Roho Mtakatifu.
 
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.

Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake

1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.

2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi

3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.

4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.

5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa

Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi

Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.

Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero

Nawasilisha:

..it is too late kushughulika na mgogoro huo.
 
Kuna sehemu nimekusoma nikagundua wewe tapeli. Tanzania ndo taifa lenye nguvu Duniani? We jamaa unatuonaje lakini? Ndo maana umekimbilia kuweka namba za simu. Tapeli wewe. Ndo maana huyo jamaa alikusikiliza akakuona dogo hujui kitu akakupotezea. Maana unaandika pumba. Mleta mada ana kitu atafika mbali. WEWE TAPELI.
Mathayo 7:6'
6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
 
Umeongea ukweli mkuu na kadri lwanda itakavyo zidi kuwa kubwa ki intergensia na ki geography ndivyo itakavyo kuwa tishio kwa tz nz East Africa

Kina haja ya tz kufanya Jambo laziada katika hili badara ya kuwa busy na akina tundu
 
Back
Top Bottom