JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

Kwenye Mkutano wa viongozi wa East africa commander in Chief Samia kasema mambo ya historia yabaki historia tujadili ya sasa,Kagame kabweka yote na kumponda sana Rais wa Africa kusini na majeshi yake kajaribu sana kuavoid neno Tanzania na Jeshi lake.
Ki msingi na Sisi katutukana sababu kikosi cha Tanzania kiko chini ya south Africa that's y tunataka ashughulikiwe
 
Hata kwenye familia zetu, Mwanamke hajawahi kuwa serious na jambo linalohosu usalama.

Mimi sio mbaguzi wa jinsia ila nimeongelea experience yangu.

Kikwete alikua na madhaifu mengi lakini sio Malawi wala Rwanda walioendelea na chokochoko baada ya kujibiwa.
Huu ni mtihan mwegine
Kikubwa machawa wakae mbali katika swala hili
Waache ushauri wa Jeshi letu ufanye kazi
 
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.

Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake

1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.

2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi

3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.

4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.

5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa

Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi

Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.

Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero

Nawasilisha:
Waende tu hao Bongo movie watarudishwa kwa aibu kama wale mercenaries wa Kifaransa na Kiromania, jeshi letu linapaswa kusukwa liwe kama lile la enzi za Nyerere kuanzia kwenye drills, discipline na patriotism.
Kwa sasa hatuna soldiers wa kukabiliana na wale wahuni.
Hiyo geopolitical military influence tumeutoa wapi au unazungumzia enzi za Mchonga? Hivi tuna influence Kenya au Uganda au Zambia au wapi labda mimi ndiyo niko gizani?
Acha jeshi na intelijensia yake waendelee kulinda CCM dhidi ya vyama vya upinzani kwani huko ndiyo tuna uhakika hawategemei kuaibishwa na wala kuliaibisha taifa kwa ujumla wake.
Vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama wamejikita kwenye siasa zaidi na confidence uchwara eti tulimpiga Nduli Idd Amin Dada(history).
 
Kuna kitu kinaendelea kwenye alliance armies especially kuuza taarifa na amri zenye maslahi fulani juzi kikosi cha Tanzania kilicho chini ya south Africa kimeamriwa kuweka siraha chini amri kutoka Wakuu wa operation South Africa na wao wanasema order wamepewa na UN huoni huo n ujinga
Na hiyo UN inaongozwa na USA
 
Wanaweza kuanza kufanya ugaidi Tanzania wakopata support ya Rwanda na washirika, wanufaika wenzake mataifa ya magharibi. Hapo lazima kujipanga na kuusoma mchezo vizuri.

Ni vizuri kwenda kama jeshi la jumuiya ya EAC, AU au UN. Kwanini DRC wasiwakodi na kuwaita Warusi?
Wameamua kukodi mercenaries waliodhaminiwa na France kwa kuwa wanaamini France wana personal hatred against Kagame so they'll do whatever it takes kumuondoa madarakani.
Kagame kawatukana sana Wafaransa, hata sasa ndiyo taifa la Wazungu linalo piga kelele na kuwahusisha direct na hivyo vita zaidi ya taifa jingine lolote.
Acha seregere liendelee tuone nani atakubali kushindwa.
 
Waende tu hao Bongo movie watarudishwa kwa aibu kama wale mercenaries wa Kifaransa na Kiromania, jeshi letu linapaswa kusukwa liwe kama lile la enzi za Nyerere kuanzia kwenye drills, discipline na patriotism.
Kwa sasa hatuna soldiers wa kukabiliana na wale wahuni.
Hiyo geopolitical military influence tumeutoa wapi au unazungumzia enzi za Mchonga? Hivi tuna influence Kenya au Uganda au Zambia au wapi labda mimi ndiyo niko gizani?
Acha jeshi na intelijensia yake waendelee kulinda CCM dhidi ya vyama vya upinzani kwani huko ndiyo tuna uhakika hawategemei kuaibishwa na wala kuliaibisha taifa kwa ujumla wake.
Vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama wamejikita kwenye siasa zaidi na confidence uchwara eti tulimpiga Nduli Idd Amin Dada(history).
Yapo makosa kidogo yamefanywa siku za hivi karibuni ku link jeshi la wananchi na siasa, kimsingi Kwa namba Fulani credibility imepungua
Lakini hatuwezi kubeza jeshi letu Kwa kuwa miaka kadhaa nyuma tumefanya operation nyingi tuu na zote zimefanikiwa
 
Kwa akili kubwa za Kagame na rasilimali nyingi zilizopo Kivu haki vile Rwanda inaenda kukua kiuchumi na kijeshi.

Miaka ya mbeleni huko hii jamii ya kitusi itakuja kumega maeneo ya Kagera na Uganda iundwe nchi mpya.
Ndio mana tunawasihi Tanzania kuingilia Kati ili Ku regulate ukuaji WA uchumi na kijeshi wa Rwanda
Natumahi Wazee wanatusikia
 
Waziri wa ulinzi
Screenshot_20250128_200219_X.jpg
 
Hupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Hapa ndipo ulipokosea ndugu
 
Ndio mana tunawasihi Tanzania kuingilia Kati ili Ku regulate ukuaji WA uchumi na kijeshi wa Rwanda
Natumahi Wazee wanatusikia
Kwa hii nchi yenu ni ngumu.Ulichosema kilitakiwa kiwe kimefanyika miaka mingi nyuma.Kwa nchi za maziwa makuu tz ilitakiwa iwe proud kiuchumi,kijeshi na ushawishi mkubwa kwa nchi jirani,lakini kwa sasa ni mavi matupu hata Burundi hatusikilizi wala hatuogopi.
 
Hapana JWTZ isiingie mashariki ya Kongo, wajikite tu kulinda mipaka yetu kwa nguvu kubwa. Viongozi wetu wasiongee chochote kuhusu huo mzozo wa DRC. Tuwe neutral kama Switzerland, ikiwezekana hata kwenye mazungumzo ya amani sijui nini tusijihusishe au tuwe washiriki tu but no comment. Tuhakikishe tu nchi yetu ni salama alafu fokasi yetu iwe kuajiri walimu mahiri kwenye mashule yetu ili kutengeneza kizazi cha wataalamu baadae.

Elimu ndio itatutoa kwa habari ya maendeleo ya kiuchumi, kiteknolojia, kijamii hata kisiasa. Si mmeuona mtaala mpya, hiyo ni step ya kwanza, angalia syllabus ya computer science kuanzia form one mpaka six, imagine tukiajiri walimu mahiri wakafundisha kwa umahiri na kujitoa kabisa, kuwe na exhibitions na maonyesho ya wanafunzi na mashindano baina ya shule na shule. Shule za private zitasaidia sana kwenye hili, hasa hasa hizi shule kali kali hapa Dar es Salaam na sehemu mbalimbali hapa nchini. Shule za private zikipata walimu wazuri ziwalinde, ziache kuwaondoa kwa upumbavu, ujeuri na ujinga hatuna mda wa kupoteza we have a generation to build.

Wahitimu wetu wa BSc Computer Science, IT, IT systems, ICT with business, na wale wa BSc with Education kwenye hayo mambo ya IT wakafundishe wasione soo hamna kuwaza mshahara wa ualimu mdogo ela kitu gani tujenge kizazi kijacho imara. Mbali na kufundisha wapoteze mda wao mwingi Github, Stack Overflow wakazane sana kusoma the Bootstrap documentation, Oracle documentation na kujifunza modern frameworks kama vile angular javascript n.k

Najua wengine watasema hatuhitaji walimu tunahitaji wajasiriamali, ooh! sijui jiajiri jiajiri jiajiri. Hapana walimu ni muhimu sana sana sana kuliko wajasiriamali. Ikiwezakana watu wenye uwezo wagawe au wauze maduka yao wakafundishe. Ualimu, ualimu ualimu. Ikiwezekana kila mtu atake kuwa mwalimu siyo kwasababu inalipa bali kwasababu itaikomboa Tanzania yetu kwenye ishu za maendeleo kiuchumi, kijamaa n.k

Wazee waache kuwafanyia vijana mauzauza yaani mtu ukipiga stori za kisiasa siku moja ukamkosoa kiongozi wa kisiasa siku moja basi unafuatiliiiiwaaaa mauzauza mauzauza mauzauza, ina maana haturuhusiwi tena kuzungumza habari za nchi yetu.

Ndivyo hivyo aisee kwenda Rwanda sijui Kongo hakutusaidii chochote, hata kama Rwanda anataka Kongo iwe koloni lake muacheni si inatuhusu nini bana. Kitakachotusaidia ni kuwekeza kwenye elimu.

Sijawahi mtukana rais naweza taja jina langu. mm ni mwalimu Robert Mdee namba zangu ni
0685967259 - airtel
0655980538 - tigo

Moja wapo ya kazi zangu ni hii hapa Mdee Academy nisaidie tafadhali kupromote kazi yangu, kwa bahati mbaya vijana wetu wako bize kumuangalia Kagame badala ya kuangalia vitu vya maana. Kagame Kagame, Kagame bongo mm mwenyewe ni mrefu na mwembamba vilevile.
 
Hawezi kutoa taarifa nyeti za kiusalama Kwa maelezo hayo, hui sio mada ya uchawa Kwanza nakushitumu kama pandikizi
Umekosea Sana na jeshi letu haliwezi kutoa nafasi Kwa watu wapuuzi kama ww
Sawa wewe wasema lakini ukweli ndio huo hata uende wapi mambo haya hayawezekani kwa mwili bali kwa Roho. We are all connected ndio maana imeandikwa Bwana hasipolinda mji....
 
Kuna kitu kinaendelea kwenye alliance armies especially kuuza taarifa na amri zenye maslahi fulani juzi kikosi cha Tanzania kilicho chini ya south Africa kimeamriwa kuweka siraha chini amri kutoka Wakuu wa operation South Africa na wao wanasema order wamepewa na UN huoni huo n ujinga
Unafikiri Tanzania inaweza kwenda peke yake na kutia suluhisho la kudumu?

Kuna Wanyarwanda waliozaliwa DRC, walikuwepo kwenye utawala na jeshi la Kabila Senior baadaye wakafukuzwa. Sio rahisi kuwaua wote, wanaweza kukimbia misituni, Rwanda baadaye wakarudi.

Kwahiyo suluhisho pamoja na kuwa litahusisha jeshi lakini pia political and social, integration ya hawa Wanyarwanda waliozaliwa DRC wenye haki kama Wacongo wengine pamoja na kumbana Kagame, kuimarisha na kulijengea uwezo jeshi la Congo.

Itabidi Kudhibiti jeshi la Rwanda kuingia DRC, lakini pia kuhakikisha wazaliwa wa DRC wenye asili ya Rwanda hawabaguliwi.
 
Hupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Hii mbona kama imeandikwa na AI au mtu asiyejua kiswahili vizuri.
 
Wameamua kukodi mercenaries waliodhaminiwa na France kwa kuwa wanaamini France wana personal hatred against Kagame so they'll do whatever it takes kumuondoa madarakani.
Kagame kawatukana sana Wafaransa, hata sasa ndiyo taifa la Wazungu linalo piga kelele na kuwahusisha direct na hivyo vita zaidi ya taifa jingine lolote.
Acha seregere liendelee tuone nani atakubali kushindwa.
Kagame naye ana - back up ya kisirisiri Israel, US, UK na wengine. Huu mtifuano utaishia wapi?
 
Back
Top Bottom