Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.
Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake
1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.
2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi
3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.
4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.
5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa
Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi
Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.
Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero
Nawasilisha: