Jumapili ya leo unailia kiwanja gani?

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,898
4,619
Asalaam ndugu zangu,

Hakika natumaini ya kuwa wote nyie ni wazima wa Afya baada ya mihangaiko ya week nzima. Anyways, niende moja kwa moja kwenye mada, Jumapili ya leo tarehe 21/4/2024 una enjoy ukiwa kiwanja gani..?

Mimi binafsi nipo uwanja wa nyumbani FUEGO LOUNGE. Kwa ambae yupo hapa tushtuane. Tumalize week kwa furaha kabisa ili week ijayo tuianze ikiwa fresh kabisa.
 
Back
Top Bottom