Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,506
- 103,164
Ni bora ukabakia kuwa msomaji tu utaelimika kuliko kujifanya unajuwa wakati hujui lolote maamuma na hujijuhi kama hujui.ok tuseme IPTL ilimzaa RICHMOND. sasa kwa nini hukuitaja. kwani haikuwa skendo mbaya yaTaifa kwa kufisadiwa na wafanyabiashara hewa. wa briefcase
IPTL haijawahi kuzaa Richmond, funga mdomo ujuhi kitu.