JPM jiandae kuibitua stuli wameanza kuning'inizana

Hakuna ulaji mnono uliopata kutokea katika nchi hii tangu uhuru kama huu wa IPTL na mwanae ESCROW.

Ni ulaji ambao ulitengenezwa na kigogo wa vigogo na utazama na gogo la magogo kwa sababu sasa mambo yanaanza kuanikika.

Ufisadi huu ndiyo uliotaka ututumbukize kwenye miaka mingine 10 ya maktaim ya kiuchumi kwa kutaka kumpandikiza mmoja wao awe Rais wetu wa awamu ya tano ili awalindie wezi mali walizoiba.

Niliisha andika mara nyingi huko nyuma kwamba Magufuli asihangaike sana kumtafuta mwizi na wajanja wanaoifilisi nchi hii kupitia IPTL kwa sababu kwa namna yoyote ile na kwa jinsi mambo yalivyosokotana itafika mahali wahusika wenyewe kwa wenyewe watapandishana kwenye stuli, watavishana kitanzi shingoni na watamsimamisha mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ili asimame abitue stuli.

Rais ataibitua stuli taratibu kwa mguu wake wa kushoto na kurudi kuketi kwenye sofa lake kuendelea kunywa Nzagamba ya kisukuma. Wezi wetu watabakia wananing'inia.
Imeishajulikana mabilioni yalifichwa Australia na dogo mmoja wa ukoo wa lililokuwa gogo kuu la ikulu, haina shida siku itafika.

Bila shaka itafika siku akina Servacius Likwelile, Fredrick Werema, Eliakim Maswi, Sospeter Muhongo, Benno Ndulu, Joseph Makandege, singasinga Seth, Mizengo Pinda na hata Jakaya Kikwete mwenyewe watasimama wapaze sauti na watatuambia zilikofichwa pesa zetu walizotuhubiria mpaka bungeni kwamba pesa ile haikuwa yetu, ilikuwa yao wezi mashujaa.

Nafikiri kwa namna gazeti la Mwanahalisi toleo no. 332 la tarehe 28-3 March 2016 lilivyoripoti, sina chembe ya kulitilia shaka litatumalizia kadhia hii kwa kuiendeleza stori hii mpaka mwisho. Niwaombe watanzania safari hii tushikamane tusiogope kinyacho kama ni mitaani tuingie kushinikiza yeyote aliye husika ashtakiwe, hata kama ni Kikwetwe akamatwe maana hatukumchagua aende ikulu kutuibia.

Mliofungwa Segerea na Ukonga jiandaeni safari hii muyapokee magogo siku si nyingi zijazo.
Babu Seya upoooo?
kamanda utakuwa umeoteshwa ndoto. kwa hiyo huu ni ufafanuzi wa ndoto yako naona. unakumbuka gazeti la Mwanahalisi lilituhabarisha nini kuhusu Richmond saga kwa muda wa miaka 8. nini kimetokea baadae kwa gazeti hilihili.! tufungue macho kidogo. hatuwezi liamini tena gazeti wala waandishi makanjanja. wanataka kutumia matukio ili kuuza gazeti. ndio maana tuliitwa wapumbaf na malofa. hujastuka tuu.
 
Hakuna ulaji mnono uliopata kutokea katik! nchi hii tangu uhuru kama huu wa IPTL na mwanae ESCROW.

Ni ulaji ambao ulitengenezwa na kigogo wa vigogo na utazama na gogo la magogo kwa sababu sasa mambo yanaanza kuanikika.

Ufisadi huu ndiyo uliotaka ututumbukize kwenye miaka mingine 10 ya maktaim ya kiuchumi kwa kutaka kumpandikiza mmoja wao awe Rais wetu wa awamu ya tano ili awalindie wezi mali walizoiba.

Niliisha andika mara nyingi huko nyuma kwamba Magufuli asihangaike sana kumtafuta mwizi na wajanja wanaoifilisi nchi hii kupitia IPTL kwa sababu kwa namna yoyote ile na kwa jinsi mambo yalivyosokotana itafika mahali wahusika wenyewe kwa wenyewe watapandishana kwenye stuli, watavishana kitanzi shingoni na watamsimamisha mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ili asimame abitue stuli.

Rais ataibitua stuli taratibu kwa mguu wake wa kushoto na kurudi kuketi kwenye sofa lake kuendelea kunywa Nzagamba ya kisukuma. Wezi wetu watabakia wananing'inia.
Imeishajulikana mabilioni yalifichwa Australia na dogo mmoja wa ukoo wa lililokuwa gogo kuu la ikulu, haina shida siku itafika.

Bila shaka itafika siku akina Servacius Likwelile, Fredrick Werema, Eliakim Maswi, Sospeter Muhongo, Benno Ndulu, Joseph Makandege, singasinga Seth, Mizengo Pinda na hata Jakaya Kikwete mwenyewe watasimama wapaze sauti na watatuambia zilikofichwa pesa zetu walizotuhubiria mpaka bungeni kwamba pesa ile haikuwa yetu, ilikuwa yao wezi mashujaa.

Nafikiri kwa namna gazeti la Mwanahalisi toleo no. 332 la tarehe 28-3 March 2016 lilivyoripoti, sina chembe ya kulitilia shaka litatumalizia kadhia hii kwa kuiendeleza stori hii mpaka mwisho. Niwaombe watanzania safari hii tushikamane tusiogope kinyacho kama ni mitaani tuingie kushinikiza yeyote aliye husika ashtakiwe, hata kama ni Kikwetwe akamatwe maana hatukumchagua aende ikulu kutuibia.

Mliofungwa Segerea na Ukonga jiandaeni safari hii muyapokee magogo siku si nyingi zijazo.
Babu Seya upoooo?
ni kwanini umeicha RICHMOND ya Lowasa. wakati inaendelea kutula hela mpaka leo hii. khaaa !Richmond ndio ilizaa IPTL baadaae
 
Kashfa yoyote inayo mgusa rais aliyeko ama aliyeondoka madarakani hufa kifo cha mende ama hugonga mwamba na kuishia hapo.

IPTL kama INA mgusa Kikwete basi hapo ndiyo mwisho wake.
Magufuli ili amtumbue Kikwete inabidi afanye mabadiliko kwenye vifungu vya katiba vinavyompa kinga rais aliyeko ama aliyemaliza muda wake. Swali ni je, JPM ana ubavu huo? Yeye mwenyewe haogopi kitakacho mpata siku za usoni?
Kwa swala la iptl na escrow nadhani tunafurahisha kunyerokunyero zetu tu. Jamaa wataendelea kupeta na tutawaona hivi hivi.
 
Isee wewe ni kiboko kuliko kiboko mwenyewe, yaani mtoto anamzaa baba? Kuna watu humu ni hewa kwelikweli, kwamba unatuaminisha Tanzania ilikuwepo kabla ya Tanganyika?
 
ok tuseme IPTL ilimzaa RICHMOND. sasa kwa nini hukuitaja. kwani haikuwa skendo mbaya yaTaifa kwa kufisadiwa na wafanyabiashara hewa. wa briefcase
 
Hizi kelele tu Lowasa mnae mwita fisadi kila siku mmeshindwa kumtumbua ndio itakua kwa mkwere wa msoga ??
Atoe kwanza ile kinga aliyonayo rais ama raisi mstaafu
 
Mtu unapiga hela maendeleo hakuna wananchi wanalazimishwa kujenga maabara hela zinapigwa jamaa kweli alikuwa kilaza first class mwenye phd!
 
Kashfa yoyote inayo mgusa rais aliyeko ama aliyeondoka madarakani hufa kifo cha mende ama hugonga mwamba na kuishia hapo.

IPTL kama INA mgusa Kikwete basi hapo ndiyo mwisho wake.
Magufuli ili amtumbue Kikwete inabidi afanye mabadiliko kwenye vifungu vya katiba vinavyompa kinga rais aliyeko ama aliyemaliza muda wake. Swali ni je, JPM ana ubavu huo? Yeye mwenyewe haogopi kitakacho mpata siku za usoni?
Kwa swala la iptl na escrow nadhani tunafurahisha kunyerokunyero zetu tu. Jamaa wataendelea kupeta na tutawaona hivi hivi.
Daaah!! Unanivunja moyo wewe lkn sikati tamaa milele
 
Hakuna ulaji mnono uliopata kutokea katika nchi hii tangu uhuru kama huu wa IPTL na mwanae ESCROW.

Ni ulaji ambao ulitengenezwa na kigogo wa vigogo na utazama na gogo la magogo kwa sababu sasa mambo yanaanza kuanikika.

Ufisadi huu ndiyo uliotaka ututumbukize kwenye miaka mingine 10 ya maktaim ya kiuchumi kwa kutaka kumpandikiza mmoja wao awe Rais wetu wa awamu ya tano ili awalindie wezi mali walizoiba.

Niliisha andika mara nyingi huko nyuma kwamba Magufuli asihangaike sana kumtafuta mwizi na wajanja wanaoifilisi nchi hii kupitia IPTL kwa sababu kwa namna yoyote ile na kwa jinsi mambo yalivyosokotana itafika mahali wahusika wenyewe kwa wenyewe watapandishana kwenye stuli, watavishana kitanzi shingoni na watamsimamisha mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ili asimame abitue stuli.

Rais ataibitua stuli taratibu kwa mguu wake wa kushoto na kurudi kuketi kwenye sofa lake kuendelea kunywa Nzagamba ya kisukuma. Wezi wetu watabakia wananing'inia.
Imeishajulikana mabilioni yalifichwa Australia na dogo mmoja wa ukoo wa lililokuwa gogo kuu la ikulu, haina shida siku itafika.

Bila shaka itafika siku akina Servacius Likwelile, Fredrick Werema, Eliakim Maswi, Sospeter Muhongo, Benno Ndulu, Joseph Makandege, singasinga Seth, Mizengo Pinda na hata Jakaya Kikwete mwenyewe watasimama wapaze sauti na watatuambia zilikofichwa pesa zetu walizotuhubiria mpaka bungeni kwamba pesa ile haikuwa yetu, ilikuwa yao wezi mashujaa.

Nafikiri kwa namna gazeti la Mwanahalisi toleo no. 332 la tarehe 28-3 March 2016 lilivyoripoti, sina chembe ya kulitilia shaka litatumalizia kadhia hii kwa kuiendeleza stori hii mpaka mwisho. Niwaombe watanzania safari hii tushikamane tusiogope kinyacho kama ni mitaani tuingie kushinikiza yeyote aliye husika ashtakiwe, hata kama ni Kikwetwe akamatwe maana hatukumchagua aende ikulu kutuibia.

Mliofungwa Segerea na Ukonga jiandaeni safari hii muyapokee magogo siku si nyingi zijazo.
Babu Seya upoooo?
majipu watatumbuliwa haohao wakurugenzi tu..kuhusu waziri au mwanasheria au waziri wa serikali iliyopita kutumbuliwa hakuna kitu kama hcho..we wengine hadi wamesharudi kwe cabinet huku wakiwa na tuhuma afu we unawataja eti watatumbuliwa wapi?
 
Huku akipepesapepesa macho kama wale wa Ohi,,, akizungumza na wazee wa mafisiem wa Dar alisema,,,," Pesa ya Escrow si pesa ya serikali" sasa nyie mbwigilambwigila mnasemaje?

Mkuu unalamba sana viatu vya wana siasa,angalia vingine vimekanyaga sumu ktk mahekalu yao...
 
Back
Top Bottom