Mfumo wa ccm ndio ulikuwa umeona kula mkuu, lengo ni kuongeza nguvu katika ujenzi wa taifa
Huyu ni tapeli tupuNasema hivi watamchagua wale wanaosubiria kupewa matumaini hewa kama wa.kule.kanisani kwake aliowaahidi kwenda USA.
Duuuh huyu tapeli aliyedanganya watu wa kawe angewapeleka marekan amenunua ndege yake amenunua tren yake kutoka Japan
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.
Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu. Tafakari vizuri ujiunge chadema ili uwe huru rohoni, nafsini, na akilini.
Pia soma: Pre GE2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Hatimaye tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa CCM wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakosa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza, bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.
NB: Au achana na siasa, uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Ni nani huyooo NaniiiKuna nabii Fulani anasema huyo ndio Presideñt ajaye ila lazima apitie CDM,anasema isipotokea basi Mungu hakumwita katika utumishi
Kwenda zako hukoooKz kweli mkuu, mtu huyu ukimya wake unakishindo kikubwa mno
Kwamba ukweli ni Wana wa kawe kwenda Birmingham? Na hawajaenda mpaka Leo?
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.
Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu. Tafakari vizuri ujiunge chadema ili uwe huru rohoni, nafsini, na akilini.
Pia soma: Pre GE2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Hatimaye tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa CCM wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakosa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza, bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.
NB: Au achana na siasa, uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.
Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu. Tafakari vizuri ujiunge chadema ili uwe huru rohoni, nafsini, na akilini.
Pia soma: Pre GE2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Hatimaye tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa CCM wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakosa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza, bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.
NB: Au achana na siasa, uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mbona unamwambia aende chademaHiyo ndo inamsuta mkuu, ndo maana namshuli achane na siasa kuongea uongo mtumishi wa Mungu ni dhambi kubwa sana
Kilicho mvuta aende huko wanakosema uongo ni nn?Kabisa mkuu, kasb huyu anahuka ya kusema ukweli, alafu huko ccm ni uongo tu, heshima yake imeshuka sana
Unamjua vizuri?Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu.