Pre GE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
gentleman,
it's political blunder to be advised to loose and fail politically 🐒
Gentleman politics is like a football , u can't score a goal with out fans. Fans act as catalyst the action to take place.
 
Gentleman politics is like a football , u can't score a goal with out fans. Fans act as catalyst the action to take place.
Gentleman,
plz be informed and advised to assemble behind a very open winning team, otherwise you will regret later on 🐒
 
Bro kila mtu ni mwoovu ,ila tumetafutiana viwango vya uovu.
Kama hivyo ndivyo basi jamaa ni mlafi.
Anakusanya sadaka za masikini ili anunue magari ya thamani, chopa nk.
Sijaona akijenga shule au hospitali ili wachangiaji wake wanufaike.
Ni kosa kubwa kupendekeza mtu mlafi wa aina hiyo aongoze Tanzania.
 
Kz kweli mkuu, mtu huyu ukimya wake unakishindo kikubwa mno
Hana ujanja huo, angekuwa anapata pesa zake kwa biasbara isiyo na mawaa angekuwa na uthubutu wa kuongea ukweli.

Na cdm wasije wakarudia kosa la kuokoteza wanaccm na kuwapa nafasi ya kugombea. Wengi wa wanaccm wakihamia cdm huishiwa kuhujumiwa, na mambo yao yakiwa mabaya huambiwa warejee ccm lakini kwa gharama za kuichafua cdm.
 
Siasa hakuna ADUI wala rafiki wa kudumu, na CHAMA ni watu
 
Gentleman,
plz be informed and advised to assemble behind a very open winning team, otherwise you will regret later on 🐒
How ? & Where ? to whom? & When ? For what? & Which? the regretment to be? Gentleman ,are you benefiting with that uncircumcised baboom system?
 
Umenena vema Jibwa la Samiah unayeishi kwa ujira wa kumpambania mitandaoni...
Huo ndio upumbavu unafanya utakufa maskini.

Nikifirahia kazi za Samia ni jibwa ila ukichekelea ujinga wa kina Gwajiboy wewe ni mjanja 😁😁

Upumbavu ni zaidi ya mzigo.
 

Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.

Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.

Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu. Tafakari vizuri ujiunge chadema ili uwe huru rohoni, nafsini, na akilini.

Pia soma: Pre GE2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

Hatimaye tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa CCM wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakosa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza, bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.

NB: Au achana na siasa, uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Amfufue Lowasa kwanza.Bloody conman!
 
Back
Top Bottom