Pre GE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gabeji

JF-Expert Member
Sep 10, 2024
1,456
1,793
images (48).jpeg

Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.

Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.

Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu. Tafakari vizuri ujiunge chadema ili uwe huru rohoni, nafsini, na akilini.

Pia soma: Pre GE2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

Hatimaye tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa CCM wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakosa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza, bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.

NB: Au achana na siasa, uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku !
Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.

Upo ccm huna amani, huna furaha,huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sbb upo ccm.
Na ww ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu .
Tafakari vzr ujiunge chadema I'li uwe huru rohoni, nafsini,na akilini,

Hatimae tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa ccm wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakusa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza , bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma Yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.

NB: au achana na siasa , uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Watawapigia kura wale wanaosubiria maneno ya matumaini kwenye uhalisia wa Maisha 😁😁
 
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.

Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.

Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi kukaa meza moja na ccm mkaishi mda mrefu. Tafakari vizuri ujiunge chadema ili uwe huru rohoni, nafsini, na akilini.

Hatimaye tuijenge nchi yetu pendwa. Najua unayo mengi sana kifuani mwako, juu ya viongozi HAWA wa CCM wanvyotafuna fedha za wananchi. Ila unakosa ujasili wa kusema kwa sbb na ww ni mbunge kupitia ccm, ikikupendeza, bunge likivunjwa nenda chadema. Huduma yako, ushawishi wako, karama yako imeshuka sana tangu ujiunge na ccm na kuwa mbunge.

NB: Au achana na siasa, uwatumikie wananchi kupitia huduma ya kiroho uendelee kusema ukweli.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Kaka wa taifa. kimsingi moyo wake wote uko cdm
 
Back
Top Bottom