Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 96,804
- 117,955
SureHapo ameshaahidiwa majimbo kadhaa na Samia kama Mbatia alivyoahidiwa majimbo 20 na Dikteta Magufuli 2020 halafu akaambulia patupu CCM washenzi sana.

Wao wasisuiee tu.
CHADEMA na ACT yatosha.
Vyama hivo, hata viungane, viingie uchaguzin, hamna wa kwenda mkutanoni.