Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,543
8,279
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.

Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.

Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha kuwa Tume ya uchaguzi ipo sahihi kuizuia CHADEMA kutoshiriki uchaguzi kwa sababu hawajasaini kanuni za uchaguzi.

Wakati CHADEMA na wadau mbalimbali wameeleza kuwa siku zote sheria na kanuni zinazotungwa na chombo chochote, ikiwa ni pamoja na zile za Tume ya ucjaguzi ni lazima zizingatie Sheria mama, yaani katiba ya nchi. Na zikiwa kinyume au zinakizana na katiba, sheria au kanuni hizo zinakuwa Null and Void. Maana yake zinakuwa ni batili. Lakini John Mrema ameonesha kuwa kanuni yoyote inayotungwa na Tume ya uchaguzi ni final.

Kwa Mrema, leo hii, Tume ya uchaguzi hata ikaandika kwenye kanuni kuwa wagombea watakaokiuka taratibu wacharazwe fimbo, kwake ni sawa, kwa sababu ni kanuni iliyotungwa na Tume ya uchaguzi!!

Kwa sasa, John Mrema, ameelekeza mapambano yake dhidi ya CHADEMA, na siyo dhidi ya sheria, kanuni na mifumo gandamizi ya uchaguzi. Mrema anasema kuwa watu ambao wamekuwa wakifa wakati wa uchaguzi ni wachache kuliko wale ambao watakufa wakati wa kuzuia uchaguzi. Kwake yeye, ni aheri watu waendelee kufa kidogo kidogo kwente chaguzi batili kuliko kupambana mara moja, halafu mkapata mifumo ya haki ya kusimamia uchaguzi ifakayoondoa hatari zozote za watu ama kuuawa, kuumizwa au kuonewa wakati wa uchaguzi.

Watanzania, wamepoteza muda wao mwingi ndani ya CHADEMA ya akina John Mrema, wakijua wanapigania haki, kumbe yumkini waliowatangulia mbele ni mamluki dhidi ya mapambano ya haki.

Mungu yu mkuu. Amewafichua na kuwaanika mamluki wote. Sasa kuna uwezekano mkubwa mapambano dhidi ya wadhulumaji wa haki na demomrasia, yatafanikiwa.

Mod, tafadhali naomba urekebishe kichwa cha mada kisomeke .... Uchaguzi...na siyo ....Uchaguziji..
 
Taratibu taratibu virus vinaendele kujionyesha nyenyewe

Mtu kama huyu eti alikuwa kiongozi wa CHADEMA!! Watu kama kina Mrema, yumkini wamekuwa wanatumika hata kuua wanachama wenzao. Hawa ndio wanapeleka habari upande wa pili, ueni huyu na yule, maana hawa ni wapinzani halisi.

Poleni sana familia ya Ali Kibao, Soka, na wengineo. Wauzaji wa uhai wa ndugu zenu yumkini walikuwa ndani ya mliokuwa mkiwaamini.

Huyu angeendelea kuwa kwenye uongozi wa chama angewamaliza wengi!!
 
halafu watu bado wanauliza nani aliyefoji saini ya Mnyika ili COVID19 waingie bungeni.

Mungu anazidi kutuonyesha.

#NoReformsNoElection
 
Mrema ni akili kubwa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimeshangaa sana yan two dhulma iendelee sababu consequences ni mdogo, sasa tutasolve kumi hii dhulma ? Very stupid hili jamaa

Kwa kweli ile kauli yake imenifanya nimwone huyu bwana ni mjinga na shetani.

Eti wanaokufa kwenye uchaguzi huwa ni wachache, hivi hao wachache angekuwa ni yeye, ndugu yake au mtoto wake, angethubutu kutamka sentensi ya kihayawani kiasi hicho!!

Chama kilikuwa na mashetani wakubwa ndani yake.

Hongera sana uongozi mpya wa CHADEMA kuwaondoa kwenye uongozi hawa mamluki shetani.
 
Mtu kama huyu eti alikuwa kiongozi wa CHADEMA!! Watu kama kina Mrema, yumkini wamekuwa wanatumika hata kuua wanachama wenzao. Hawa ndio wanapeleka habari upande wa pili, ueni huyu na yule, maana hawa ni wapinzani halisi.

Poleni sana familia ya Ali Kibao, Soka, na wengineo. Wauzaji wa uhai wa ndugu zenu yumkini walikuwa ndani ya mliokuwa mkiwaamini.

Huyu angeendelea kuwa kwenye uongozi wa chama angewamaliza wengi!!
Bado hamjasema mtasemana tu.Kwa sababu kila tukio la utekaji na mauaji Katibu wenu Mkuu alikuwa analijua na anapeleka kwenye vyombo vya habari. Mtasemana tu in due time.
 
It seems team mbowe ilikuwa imezungukwa na watu wa deals, ndio hawa ambao wanajitokeza
 
Bado hamjasema mtasemana tu.Kwa sababu kila tukio la utekaji na mauaji Katibu wenu Mkuu alikuwa analijua na anapeleka kwenye vyombo vya habari. Mtasemana tu in due time.
If that so wangekuwa wamefungwa au kufunguliwa kesi, lile tukio huwez kuwabebesha cdm hata kidogo. Hawana resources za kufanya lilie tukio

No logic
 
Back
Top Bottom