Pre GE2025 DSM John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,058
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"

Leo si ameonda ubalozi wa Vatican kumuombea Lissu? Asubiri mahakama
 
Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Ni kweli kabisa.Ndiyo maana wakitoka tu lupango anawakaribisha ikulu wapate juisi kupata kinga ya mafua ya jela.
 
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"

Kwa Mungu, ukitamani umetenda. Hangaya alitamani kumnyonga Ayatollah Mbowe na sasa ametamani kumnyonga Lissu pia. Kwa hiyo, Hangaya ameshanyonga wenyeviti wa CDM wawili tayari.
 
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"

Aifute aisee
 
Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.

..Kama Mama Abduli ana hamu ya kumuua Lissu afanye hivyo yeye mwenyewe, sio kuwasikizia Polisi na mahakama.

..Mama Abduli kumshtaki Lissu kwa makosa ya kujitungia ni kuiingilia mahakama na kuinajisi kitu kinachoweza kupelekea isiaminike tena.
 
Back
Top Bottom