Basi nimepita, yupo wapi niende?Ushaambiwa ili mradi uwe unapumua
Nilianza kumuona akiigiza na Mzee small kwenye ,50 -50 ,100.Huyu bado hajaolewa tu?!
Nilianza kumuona zamani kwenye maigizo na Kanumba na Ray!
Nipeni namba yake nipate mke mieWee mzabzab kwani haupumui?
Nipeni namba yake jamani nipate mke"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".
"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari
View attachment 3312402
Chanzo: EATV
😂😂😂😂😂Ukiona daladala mbaka konda anaanza kupokea nauli yoyote uliyokuwa nayo...
Ujue muda umeenda Sana, mpo wachache
😂😂😂😂hii sawa na hilux double cabbin namba A engine kipengele
na mfumo wa gearbox wote mbovu
Konda hata usipomuomba anakuwa mpole tu😄😄Ukiona daladala mbaka konda anaanza kupokea nauli yoyote uliyokuwa nayo...
Ujue muda umeenda Sana, mpo wachache
Dk za jioooooooooooooniiiiiii...... ndio wanaukubali ukweli.Muigizaji Johari Chagula ameshea nasi vigezo vya mwanaume anayetaka kufunga nae ndoa sababu ni jambo ambalo amekua analiomba kwa muda mrefu.
View attachment 3312507