Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

Nipate mume yoyote kigezo anapumua!Manina
20230814_160645.jpg
 
Huyu bado hajaolewa tu?!
Nilianza kumuona zamani kwenye maigizo na Kanumba na Ray!
Nilianza kumuona akiigiza na Mzee small kwenye ,50 -50 ,100.


Then akafanya kifo haramu na j plus (Jimmy mponda) .
Kabla hajasajiliwa na kaole Sanaa group Kwa igizo la fukuto.
 
Muigizaji Johari Chagula ameshea nasi vigezo vya mwanaume anayetaka kufunga nae ndoa sababu ni jambo ambalo amekua analiomba kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom