Job Ndugai...

Lisu,Slaa,Ndugai,Mnyika n.k ni team nzuri sana ya kampeni !lakini nani atapeperusha bendera!!?Ndugai!!?Lisu!!?

Ndugai atapata uungwaji mkono ndani ya ccm hasa team jpm!

Ngoja tuone!
 
Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Huwa hamchoki

Hasa Mkiona pametulia na no reform no erection imeyeyushwa na COVID-19
 
Lisu,Slaa,Ndugai,Mnyika n.k ni team nzuri sana ya kampeni !lakini nani atapeperusha bendera!!?Ndugai!!?Lisu!!?

Ndugai atapata uungwaji mkono ndani ya ccm hasa team jpm!

Ngoja tuone!
Nchi inaenda haraka haraka sana !
Waswahili Wanasemaga “ kimya kingi kina mshindo mkubwa “
Nimekosa mimi nimekosa mimi !

Ngoja Tusubiri tuone 😳 !
 
Angestaafu tu akachana na siasa huko kuslim hakutamsaidia kitu
Hii itakuwa Kenya Style ,
Watu wanatoka huku wanaingia kule kisha wanashinda Uchaguzi kisha Chama kongwe kinakuwa Chama cha Upinzani !!

Kisha Katiba hii hii inaendelea kwa muda maana itabidi kwanza makaburi yafukuliwe 😂😂🤣 !
 
Back
Top Bottom