Job Ndugai...

Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Lolote bata limpate tu, alikuwa anaburuza sana wabunge kipindi cha Mwendazake
 
Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Mkuu Mshana jr kuna nini na huyu mtu maana kuna uzi tena umemtaja na ukaweka picha zenye maudhui ya kufanana na haya.
 
Back
Top Bottom