Jitihada za Kumtua Mama ndoo ya Maji Kichwani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,994
961
Leo tarehe 9 Mei, 2024 Saa Kumi na Moja Jioni, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atachangia Bajeti ya Wizara ya Maji kuhusu;

1. Usambazaji wa Maji Vijijini (Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria)
📌 Mradi wa Bulenya, Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, kining'inila, Mwamashimba, Mwamakona, Igurubi na Kinungu.

📌 Mradi wa Ipumbulya, Mwanshoma, Nguvumoja, Imenya, Lugubu, Mgazi, Chagana na Itumba.

2. Uchimbaji wa Visima vya Maji (Mradi wa Visima 900 maarufu Visima vya Mama Samia)
📌 Kityelo (Itumba), Nguvumoja, Mgazi (Lugubu), Imenya (Lugubu), Ibole (Igurubi) Kining'inila, Mwajilunga (Kinungu), Mwajinjama (Mtungulu), Chagana (Lugubu) na Isakamaliwa.

3. Vyanzo mbadala vya Fedha za kugharamia Miradi ya Maji Nchini.

WhatsApp Image 2024-05-09 at 09.53.16.jpeg
 
Ni aibu kuongelea pety issues kama hizi!miaka 60 ya uhuru !tunaongelea maji ya Bomba badala ya technology katika uzalishaji!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom