Jiondoe kwenye kifungo kisicho na ulazima

Hayo mengine ni majaribu ndugu yangu cha muhimu mvumiliane na mrekebeshane taratibu naomba ujue somo la uvumilivu
Uvumilivu upo lakini sio wa kutolewa ngeu na kuletewa Mume ndani ya nyumba yako wala si kung'olewa meno. Ukikubali kufuata somo la uvumilivu utakuwa mtumwa mpaka unakufa
 
Wasalaam wakuu,

Ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yupo katika mahusiano. Mahusiano yenye mambo mengi kama kukera, kuliza na kuumiza.

Wengi walio katika mahusiano wamefika walipo wakipita katika mataizo mpaka kufikia hapa walipo. Mapito ya wengi waliopita ni mapito ambayo yaliwaacha na makovu moyoni, majonzi na vilio. Vilio vyao havikuonekana ni vyenye thamani lakini wakajaribu kusimama na hatimaye kufika hapa walipo. Lakini licha ya kupitia hayo na kuwafikisha hapa walipo hutakiwa kuendelea kuwa mtumwa... hutakiwi kuendelea kulia na kumshushia lawama Mungu.

Najua wengi mpo katika mahusiano ambayo yametawaliwa na chuki, usaliti, dharau na hata manyanyaso. Wengi mpo katika muhisiano ambayo kamwe hakuna faraja wala upendo wa dhati. wanawake wanaishia kupigwa, kudhalilishwa na kufanyiwa vitendo ambavyo huwezi kuvisema hadharani.

Lakini licha ya kufanyiwa hayo yote bado wametulia, bado wanateseka ndani kwa ndani, bado wanavumilia na kuamini ipo sikuwataishi katika amani na utulivu. wapo wanaoletewa wanawake majumbani lakini bado waliendelea kuvumilia. Wapo wanaume wanaonyanyaswa na kunyimwa unyumba, wapo wanaume wanaofanywa mazezeta na wake zao majumbani mwao lakini still wanavumilia. Hivi utaishi katika hili mpaka lini? Utaishi katika kifungo hiki mpaka lini?

Tuseme bila uliyenae huwezi kuishi? Kwanini unalikubali hili ndani ya moyo? Simama wewe kama wewe huku ukijiamini kuwa unaweza. Kuanza moja sio ujinga. Piga hatua na songa mbele hili litakufanya utoke ndani ya kifungo kisicho cha lazima

Ahsanteni sana

Ibra87
Ushauri wako ni mzuri ila nimeu put off kwa sababu haukujali jinsia
 
Wewe kinachokusumbua hujaingia kwenye mahusiano ya kindoa ndio maana una woga, kwanza kuna makabila mengine unavyoona mwanamke akila kichapo ujue ndio furaha ya mwanamke huyo imefika kileleni na saipopigwa ndo ananyanyasika sana walijua hilo? Ingia kwenye ndoa uone mambo.
 
hakika mkuu lakini unapoondoka kwenye kifungo haimaanishi ukaanzishe uhusiano mpya bali kutafuta uhuru
Mahusiano/ndoa ni upendo, furaha na amani, jiulize kwanini mara ya kwanza mlikuwa mnapendana? sasahivi nini shida? hakuna linaloshindika kwa Mungu mkuu.
 
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao tunaamini kuwa kuendelea kuteseka huku ukiwa na nguvu na maarifa yako kichwani nikujitakia. Huwezi kukubali kusalitiwa kwa kuletewa mwanamke au mwanaume ndani kisha ukang'ang'ania kubaki hapo
Sasa huo ni uvumilivu au ujinga mi mwanaume akiniletea mwanmke mwingine its over no argument yani nasepa. Sasa watanzania wengi huishi mahusiano ya kistress kosa kuoga kuachana eti wataonekanaje. Wanasahau kuwa life ni short kitu hiki kikikushinda una move on kwenye kitu kinachokupa furaha
 
Very True dear.. I can take all but not kuchitiwa or kupigwa, uuh, uuuh... Thanks..
 
Love, love... Loveissweet but some people can make it looks and taste bitter ... It is well... What I can encourage some women / men , haswa women who are in relationships that make you cry every time .. Dear stand up it doesn't matter how hard it is but try and surely God will see you through. ... Never let anything kikushushe thamani , never .. You are worthy unto God.. And I do understand that you love the man ,but what about the way He abuses you verbally, physically , emotional say no to this before its too late .. Don't feel sorry, guilty to the abuser simama Mama you are worthy and very beautiful ... Take from me hakuna kitu kibaya kama to be abuse from someone that you deep loved, respected, adored, cherished, who shared so many secrets about your past with hoping that He will never let you go through the same things you went through but too bad He allowed it all to happen... Its okay , it's never too late to stand up and run unto God who has a promise land for your destiny and leave that abuser alone ( remember abuser hajakuumba ).... Don't worry about what other people will think about you.. Worry about health, life, and things that are thamani kwako ambavyo vinakutegemea for tomorrow... Jaribu kuishi kwa kutofurahisha people because man/ woman can let you down but God never.. Ishi maisha unayofurahia moyoni mwako na Mungu wako.. Never depend happiness from other people , dear happiness comes from you , pale unapojikubali ( in good way), ukasimama bila kusimamishwa, stand by what you believe and never shake then this will create something positive from your heart .. That if somebody comes and mistreat you, you are like uuuh, uuhh... Bila ugomvi unamuambia it was pleasure to meet you , and you walk away.. Tujijali.na kujithamini wenyewe kwanza ili hata yule atakayekuja next ajue who is he/ she dealing with and what he / she is getting inn to.. Love hard as much as you can and try to do your best as much as you can ili siku ikitokea your partner ame messed up ajue what she / he lost was a Gold and not a silver.. Na hii itakuwa easy kuanza tena upya bila kumuonea huruma, why? Because you have tried your Best but she / he wasn't the one who deserve your True love.. Thanks..
 
Jamani tumeshauriwa vizuri lakini tukumbuke kuwa maamuzi yote yako mikononi mwetu kutegemea mazingira ya kila mmoja mmoja, siyo ujumla jumla kama mtoa mada. Jipime binafsi
 
Sasa huo ni uvumilivu au ujinga mi mwanaume akiniletea mwanmke mwingine its over no argument yani nasepa. Sasa watanzania wengi huishi mahusiano ya kistress kosa kuoga kuachana eti wataonekanaje. Wanasahau kuwa life ni short kitu hiki kikikushinda una move on kwenye kitu kinachokupa furaha
Uko sahihi Diva beyonce lakini kuna wengine wanavumilia mateso ambayo hata shetani hawezi kuvumilia. wanaogopa kupiga hatua wakiwa wnyewe,; hawajiamini kwa kila kitu ndio maana wapo katika kifungo ambacho hakina ulazima. huu ni wakati wa kufungua minyororo ya utumwa.. unaweza kuwa huru usiogope
 
Wewe kinachokusumbua hujaingia kwenye mahusiano ya kindoa ndio maana una woga, kwanza kuna makabila mengine unavyoona mwanamke akila kichapo ujue ndio furaha ya mwanamke huyo imefika kileleni na saipopigwa ndo ananyanyasika sana walijua hilo? Ingia kwenye ndoa uone mambo.
Mkuu hili nalisikia la watu kupigwa na kujiona ndio wanapendwa. Lakini tukitazama katika jicho la tatu huo ni utumwa. Utumwa ambao unaopaswa kuondokana nao. siamini kama ndoa zinafundisha kupigana, kuchepuka, ama kudhalilishwa kwa mwanamke na hata mwanamke. Wengine wapo kwenye ndoa kwa miaka hata ishirini lakini hawakuwahi kuiona furaha wala kutabasamu.Siku zote wapo kama wafungwa wasiojua Umuhimu wao wala thamani yao. NDOA isiwe kichocheo cha kumdharau mke ama mume. Jifungue pingu za utumwa mikononi acha kuendelea kuwa kwenye kifungo kisicho na ulazima
 
Jamani tumeshauriwa vizuri lakini tukumbuke kuwa maamuzi yote yako mikononi mwetu kutegemea mazingira ya kila mmoja mmoja, siyo ujumla jumla kama mtoa mada. Jipime binafsi
Andishi limebeba jumla jumla lakini wengi wetu ndio wahanga wa hili lililozungumziwa. Ni wajibu wetu kulizungumza hilo
 
Back
Top Bottom