Jiondoe kwenye kifungo kisicho na ulazima

Kupenda usipopendwa, kujali usipojaliwa, kuthamini usipothaminiwa..... Ni mateso yasiyopimika..... No support emotionally wala finacially.......it sucks!!!!
hilo la kujali na kupenda wasipopendwa ndio huwafanya wageuzwe watumwa.. Tuseme wameshindwa kujiondoa wenyewe?
 
mkuu nakubaliana na wewe katika hilo, lakini utaendelea kuishi kwa kunyanyasika hadi lini? Tushauriane
Hakuna kazi kubwa kama kumbadili mtu mzima mwenzio mliyekutana ukubwani.

Lakini pia kumbuka ukishaachana kwenye mahusiano zaidi ya matatu basi jua hata wewe ni tatizo.

Cha msingi ni kuwa makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano, ndio maana huwa naunga mkono kabisa watu wanaokaa kwenye uchumba kwa muda mrefu bila ndoa.

Au bora wanaomegana ki-utu uzima bila kuingia kwenye mahusiano rasmi
 
CCM anatusumbua lakini bado tumeganda kwake. Hata mpenzi wangu anasumbua lakini bado nipo nae. Maisha yananisumbua lakini bado nakwenda nayo. Mapenzi ni kama ulima mgumu kuupanda lakini mwepesi kuushuka. mwenye akili kishanifahamu
 
mkuu nakubaliana na wewe katika hilo, lakini utaendelea kuishi kwa kunyanyasika hadi lini? Tushauriane

Mkuu kunyanyasika si ndo mpenzi yenyewe usikii wasanii wanaimba acha nisote mie baraka da price nyimbo zingine upuuzi tu
 
Hakuna kazi kubwa kama kumbadili mtu mzima mwenzio mliyekutana ukubwani.

Lakini pia kumbuka ukishaachana kwenye mahusiano zaidi ya matatu basi jua hata wewe ni tatizo.

Cha msingi ni kuwa makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano, ndio maana huwa naunga mkono kabisa watu wanaokaa kwenye uchumba kwa muda mrefu bila ndoa.

Au bora wanaomegana ki-utu uzima bila kuingia kwenye mahusiano rasmi
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao tunaamini kuwa kuendelea kuteseka huku ukiwa na nguvu na maarifa yako kichwani nikujitakia. Huwezi kukubali kusalitiwa kwa kuletewa mwanamke au mwanaume ndani kisha ukang'ang'ania kubaki hapo
 
Mkuu kunyanyasika si ndo mpenzi yenyewe usikii wasanii wanaimba acha nisote mie baraka da price nyimbo zingine upuuzi tu
kwa wimbo ule wa Baraka unaonyesha baadhi ya UDHAIFU tulionao wanaume hasatunapo kutana msichana mfano wa RUBY
 
Myoa mada hijatoa solution kwamba unatokaje?Mimi nilishawai kumwambia wife arudi kwao kama amenichoka yyy alinijibu na ww rudi kwenu!Nilichoka kabisa..
Suluhisho ni Kujiamini kuwa unaweza bila uwepo wake. Kama alikwambia nawewe nenda kwenu ni Rahisi sana kuondoka wewe kwenda kuanza Moja na kumuacha yeye
 
Tatizo tumeoana na tuna watoto wawili mmoja miaka 9 na mwingine 6.Ndo maana nikauliza naanzaje kujitoa?Huwez jitoa kisela tu...
 
Tatizo tumeoana na tuna watoto wawili mmoja miaka 9 na mwingine 6.Ndo maana nikauliza naanzaje kujitoa?Huwez jitoa kisela tu...
mkuu kama unadhani huna furaha unaweza kujiondoa kwa kukubali kubeba majukumu ya kulea wanao huku ukiishi mwnyewe katika kuitafuta furaha
 
Ila kweli lakini. Kwanini ukose raha wakati maamuzi ya kupata hiyo raha unayo mwenyewe?

Fanya maamuzi sahihi ili ufurahie maisha
maamuzi sahihi ndio silaha bora katika kuondokana na UTUMWA
 
maamuzi sahihi ndio silaha bora katika kuondokana na UTUMWA
Hakika ndugu ibra87. Upo kwenye mahusiano ila huna furaha ila tunajifanya wabishi tukiamini mambo yatabadiliki huko mbeleni kirahisi tu. Wakati misingi yake bado ni mibovu. Ni kazi bure
 
Unataka kuvunja ndoa za watu
Ndoa ambazo walala kila mtu chumba chake mwaka mzima? Chakula kinapikwa home wanakula watoto tu si mume wala si mke? Ndoa ambazo. . . . . ! ! ! ! ?? ?
Juzi tuliitwa kwenye usuluhishi wa ndoa moja hivi! ! Duuh ni hatar! !

Tukiwa kwenye usuluhishi kwa yaliyokuwapo my husband akanitumia sms MKE WANGU NAKUPENDA SANA NAOMBA ISIJE KUTOKEA TUKAFIKA HATUA HII HATA IWEJE

Nikatokwa na machozi kwa kweli! ! !

Acha kabisa mkuu! Kuna watu wako kwenye vifungo vya the so called ndoa /mahusiano asikwambie mtu
 
Tabu ni pale unaporuka majivu na kukanyaga moto! Namaanisha kuwa waweza kujiondoa leo lakini kesho ukajiingiza pabaya zaidi. Mapenzi .......
 
Ndoa ambazo walala kila mtu chumba chake mwaka mzima? Chakula kinapikwa home wanakula watoto tu si mume wala si mke? Ndoa ambazo. . . . . ! ! ! ! ?? ?
Juzi tuliitwa kwenye usuluhishi wa ndoa moja hivi! ! Duuh ni hatar! !

Tukiwa kwenye usuluhishi kwa yaliyokuwapo my husband akanitumia sms MKE WANGU NAKUPENDA SANA NAOMBA ISIJE KUTOKEA TUKAFIKA HATUA HII HATA IWEJE

Nikatokwa na machozi kwa kweli! ! !

Acha kabisa mkuu! Kuna watu wako kwenye vifungo vya the so called ndoa /mahusiano asikwambie mtu
Watu hawa ni lazima tuwasaidie kutoka huku walipo na kuondokana na vifungo hivi. Je tutawasaidia kwa Vp
 
Back
Top Bottom