Jinsi ya kupika mayai aina tofauti

Last edited by a moderator:
Hilo nambari moja ndio lenyewe hilo...

Huwa naliviriga na chapati ya kusukuma halafu pale kati kabisa naweka sausage, salaleee nikitia baraka na maziwa fresh ya moto nala hadi nasinzia...

Wewe unakuwa unavimbiwa mayai mboga mboga sausage na michapati juu na likombe la maziwa mhhhhh.
 
Hata sigeuzi nafunika tu juu iwive kwa mvuke

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Unafunika na nini ?
Mie napika kila siku jicho la ng'ombe ila natamani sana nisiligeuze ila nakuta naligeuza ili liive....

He he wengine mayai ni kila siku maana ukitoka job umechoka sana kupika ni weekend
 
Marafiki humu eti mikuku ya kienyeji ukitaka kuifoil then kuwaoven ni lazima uichemshe maana ni migumu balaa na kama sichemshi mda gani nitumie kuwaoven ???
 
Marafiki humu eti mikuku ya kienyeji ukitaka kuifoil then kuwaoven ni lazima uichemshe maana ni migumu balaa na kama sichemshi mda gani nitumie kuwaoven ???

Ushauri, hem jaribu kuwaunga na thom, tangawizi na.spices zako uzipendazo. Then walaze kwenye freezer for a night. Utapotaka kuwapika watoe mapema uwaache wayeyuke barafu then ndo uwachome. Nafkiri itasaidia
 
Thank love ngoja tayarishe kwa kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom