Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa vyovyote vile aliyeambatana na Jimmy ni queen Iryn naona Hilda atakuwa amefanya yake ku disclose hiding number ya Insider chezea mwajiri wewe.Lakini nashukuru Iryn amekuja wakati Mary keshaondoka vinginevyo pangechimbika Bravo mwamba kwa kujua kuchanga karata vizuri.
Bahati tu sio kujua kuchanga karata. Bali ana neema ya Mungu. Anatembelea roadmap ya Mungu. Kuna mdau kasema hivo hapo juu
 
Itoshe kwa kusema hivi
👇
Newton's First Law of Motion states that a body at rest will remain at rest unless an outside force acts on it, and a body in motion at a constant velocity will remain in motion in a straight line unless acted upon by an outside force.
Mwenye nacho anaongezewa. Nikiwa chuoni nilikodi demu mmoja ajifanye my gf lengo Kuna mtu namtaka. Sasa bana yale mapenzi ya kizungu hadharani ama mahaba,kula pamoja ,kulishana msosi cafeteria nk ,
Mbona demu alijileta na akajaa akavaa kiatu,
Yaani ukiwa na Mali ama pesa nyingi zingine zinajileta mpaka unajiuliza hizi zilikuwa wapi muda ule sikuwa na hela.
 
Kwa vyovyote vile aliyeambatana na Jimmy ni queen Iryn naona Hilda atakuwa amefanya yake ku disclose hiding number ya Insider chezea mwajiri wewe.Lakini nashukuru Iryn amekuja wakati Mary keshaondoka vinginevyo pangechimbika Bravo mwamba kwa kujua kuchanga karata vizuri.
Shetani yuko kazini. Anakwepesha hapa anamtelekeza pengine. Shetani anaongoza kwa kung'ata na kupuliza kama panya
 
wanawake bhana ni watu wa ajabu sana!! Mtu unajua kabisa kuwa huyu mtu ana mke na mtoto, kisha unajua kabisa kuwa huyu huyu alimbebesha mimba mdogo wako tumbo moja, na kama hiyo haitoshi bado akakusimulia matatizo yake kuwa kambebesha mimba mwanamke mwingine tena Iryn. Sasa wewe una akili timamu kweli unapolazimisha kwenda kulala kwake? Yani eti friend mwanamke akalale chumba kimoja na friend mwanamme... Dah aibu nimeona mimi..

Wanawake mnajirahisisha sana mpaka mnatia kichefuchefu..hata kama una thamani, ukijirahisisha hivi thamani yako inashuka sanaa....

Halafu eti unasema ni wife material, hakuna wife material hapo ndugu yangu...wife material hawezi kujipeleka kwa mwanaume unayejua kabisa kuwa ana mke na michepuko ya kutosha... hilo ni chaka lingine tu
Mary ni wife materials sana; since day kaingia kwa hi story u can notice that. Wanawake hawatafutagi mwanaume bikra, wanatafuta a man with vision
 
Hivi kuna wanaume bado mnateseka kupata wanawake??. Ukiona unapata tabu, kuna sehemu unakosea. JITATHIMINI.

Hivi hakuna jukwaa la Wanaume tu? Tuwe tunapeana madini.

Wale ambao mnashida na kimoja chali, kuna uzi nitawaandalia naamini kama una tatizo utakuwa sawa. Hakuna mwanaume mwenye shida ya nguvu za kiume, hakuna. Labda uwe umerithi.
 
Kimoko chali huwa kinasababishwa na mengi Mzee
 
Back
Top Bottom