Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

SEASON 02
CHAPTER 32

“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”

CONTINUE:

Baada ya kumpigia simu, alipokea haraka na akaniambia kwamba alitaka kunijulisha kuwa Mary alimpa funguo za ghetto. Alipoona sioneshi dalili za kurudi mapema, ndipo akaamua kunipigia simu ili kunipa taarifa hiyo.

Mimi nilibaki nashangaa inakuwaje Mary ampe funguo Michael bila kunipa taarifa? Nikawaza Mary atakuwa kaondoka. Nilijikuta naanza kuchanganyikiwa muda huu, ukweli nilikuwa nimemkosea hasa kwa majibu ya hovyo niliyokuwa nimempa.

Nilingia ndani kuonana na Michael na akanambia kwamba alipewa funguo toka mchana. Sikutaka kuonesha dalili yoyote na nilipotezea mada kwa kumuuliza kuhusu safari yake na akasema ataondoka saa sita mchana, hivyo tukakubaliana kuonana asubuhi.

Nilirudi Gheto na baada ya kufungua mlango na kuingia ndani, vitu vyake vilikuwepo, Roho yangu ikatulia, lakini sasa nilianza kujiuliza huyu atakuwa yuko wapi muda huu?. Simu yangu ilikuwa inasoma saa nne za usiku na niliendelea kuwaza pale, nimpigie au nimpotezee?.

Nikivunga ataweza kusema mimi simjali wacha nimpigie simu kumuuliza alipo.”

Kwa upande mwingine nilikuwa nimepatwa na kawivu na nilijikuta nampigia simu kwa haraka. Simu iliita kwa mara ya kwanza bila kupokelewa na nikapiga kwa mara ya pili, akapokea.

Nililegeza sauti na kuifanya iwe romantic tena ile ya kubembeleza;

MIMI: “Hi Mummy, where are you? It's late now, you should rest for tomorrow. Let me know where you are so I can come pick you up.”

MARY: “I've been so busy that I lose track of time. Let me ask my host here, then I will direct you to come.”

MIMI: “No problem, you can send me the location.”

Baada ya dakika Mary alinitumia location na akanipigia simu kunielekeza aliko, alisema yuko Kikuyu. Bila kupoteza muda nilitoka haraka kwenda kumchukua na ndani ya muda mfupi nilikuwa nimewasili pale.

Nilimpigia simu kumtaarifu nimefika na baada ya dakika kadhaa nilisikia geti likifunguliwa, nami nikashuka kwenye gari nikampokea bag na kumkumbatia. Hakutugemea kama ningefanya kitendo kama kile, lakini alionesha kufurahia na nilimuliza maendeleo yake akasema salama.

Nilimsalimia jamaa pale na nilianza kumtania kwanini anakaa na Mary mpaka usiku?

“Kaka mambo vipi? Unakaa na mke wangu mpaka usiku kweli?”

“Hahahaa mkuu usiwe na wasiwasi mambo ya research ni pasua kichwa, usiwe na wasiwasi”

Tulimuaga na walikubaliana wakutane kesho, mimi nikamkatalia, nikamwambia kesho ni jumapili anatakiwa kupumzika, hivyo wafanye jumatatu.

Tuliondoka pale kurudi Gheto, lakini njiani tulikuwa kimya sana, nami nilikuwa natafuta gia nzuri ya kumuingia pale na ikiwezekana tumalize tofauti zetu.

MIMI: “Nimerudi Gheto nikashtuka kuona Michael akinipa funguo, nikajua umeondoka.”

MARY: “I’m really sorry, ulinikwaza ndomana nikampa funguo Michael ili usihangaike, alisema yeye yupo hatoki.”

MIMI: “Naomba nikwambie, jana nilifanya vile ili kuepusha maswali mengi, lakini usinifikirie vibaya mummy.”

MARY: “Mimi nilikuwa na nia nzuri tu, ulivyosema uko workshop nikatoka kwa jamaa ili nikupitie tuondoke wote. Nilipatwa na hasira baada ya kuambiwa haujaonekana toka mchana, nilishindwa kuelewa kwanini unidanganye?”

MIMI: “Jana nilishinda na Aggy dukani mpaka jioni, nikampeleka kwake ili aniachie gari na leo amesafiri..”

Mary alinikatisha wakati naongea;

MARY: “Aggy amesafiri leo?”

MIMI: “Ndio, sasa wakati narudi Sanchi akaniomba nipitie Rainbow anipe pesa ya simu. Hakuna chochote kinachoendelea kati yetu, nami nafanya haya yote kwake sababu nina target zangu.”

MARY: “Target zipi?”

MIMI: “Nikiondoka kurudi Dar nataka awe ananisaidia kuangalia ofisi. Naomba tulimalize hili jambo, sorry najua nimekukwaza sana.”

MARY: “I understand mimi sina tatizo, ulichosema jana ni sahihi, sisi sio wapenzi, lakini naomba tuheshimiane. Sitapenda kuona unaenda kwa wanawake wengine halafu unarudi tena kulala na mimi. Naomba uvumilie mpaka nitakavyoondoka ndo ufanye hivyo, sawa?.”

MIMI: “Mary, sijaja kucheza au kutafuta wanawake huku ni kutafuta hela tu, hili ondoa shaka.”

Tuliyamaliza pale na baada ya kufika Gheto, nilimpa taarifa kuhusu kesho kuhamia kwa Michael na kwenda kutembea. Lengo langu nimuoneshe nyumba yangu ya Makulu, pamoja na plot ya Iyumbu.

Kesho yake ilikuwa jumapili na nilitoka mapema kwenda ATM kutoa hela kwaajili ya kumlipa Michael. Pia, niligundua Mary hana hela kaishiwa, hivyo nilipanga nirudishe ahsante kwa kumpa laki tano imsaidie kwenye mishe zake.

Kwenye Akaunti yangu kulikuwa na balance ya 2,600,000 maana mpangaji wangu alikuwa kafanya malipo yake ya miezi sita na kuna laki mbili ilikuwa imebakia kutoka kwenye pesa alizokuwa amenitumia Maggy.

Kutoa hicho kiasi kwa ATM kilikuwa ni kingi, hivyo nikapata wazo niende kwa wakala ili nitoe zote kwa mkupuo. Baada ya kukabidhiwa pesa niliangalia risiti na nilipigwa na butwaa kuona balance inasoma 18M na point kadhaa.

Nilibaki najiuliza hii pesa imetoka wapi? Ni nani kaniingizia hii amount?.

Turudi nyuma kidogo;

Mnamo tarehe 26 April mama Janeth aliitisha kikao kwa viongozi wote kwa upande wa Salon. Kulikuwa na sintofahamu nyingi zikiendelea ofisini hasa kuhusu mustakabali wa ofisi, kwani wahusika wakuu kuanzia Iryn, mama na mimi hatukuwa na maelewano.

Wafanyakazi walikuwa na wasiwasi kwamba huenda nilikuwa nimeshaacha kazi kwa sababu muda mrefu ulikuwa umepita bila mimi kuonekana ofisini. Sakata la kutokupatikana kwa Iryn pia liliibua hisia tofauti kwa watu, na hapa ndipo walipoanza kuhisi kuwa kuna something fishy kinachoendelea.

Mama baada ya kuitisha kikao lengo likikuwa ni kutengeneza uongozi mpya sababu mimi nilikuwa sipatikani kwa simu na hakuna mawasiliano yoyote kutoka kwangu, pia kama muda wa likizo ulikuwa umeisha na kupitiliza.

Hilda pekee ndiyo alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mimi maana tulikuwa na mawasiliano ya siri, hata yeye alipokuwa akiulizwa kuhusu mimi alijibu hafahamu, maana nililimkataza asitoe namba yangu kwa mtu yoyote.

Mama alibadilisha uongozi wa ofisi ikiwa ni pamoja na kumpa Hilda nafasi yangu na akaahidi kuajiri mtu mwingine kwajili ya kucover nafasi ambazo ziko wazi.

Kwa upande wa Iryn alikuwa bado hapatikani kwenye simu na hakuna mtu yoyote aliyekuwa anajua kinachoendelea kuhusu yeye.

Hizi ni taarifa ambazo nilipewa na Hilda, baada ya kumalizika kwa kikao. Kwa upande wangu nilifurahi kusikia hivi maana kampuni haikuwa tena chini ya mikono yangu.

Tuendelee;

Baada ya kuliona salio hilo, nilitambua mara moja kwamba ni mshahara wangu wa miezi minne ambao umelipwa. Tangu Januari, sikuwahi kupokea mshahara wangu kwa sababu kubwa ya kumkatalia Iryn kunilipa, kwani tulikuwa bado hatujamaliza mazungumzo yetu. Kampuni ilikuwa ikinilipa mshahara wa TZS 4.5M kwa mwezi, pamoja na marupurupu yote, ikiwa ni pamoja na gharama za petrol , nyumba, mawasiliano, chakula, na overtime.

Ukweli nilifurahi baada ya kupata hii pesa maana nilikuwa kwenye kipindi ambacho nina uhitaji mkubwa wa pesa, hasa katika kufanya mapinduzi ya biashara.

Baada ya kurudi home nilionana na Michael kisha tukamalizana kwa kumlipa pesa yake. Pia alikuwa tayari kajiandaa kwaajili ya kuanza safari yake.

Michael alinipa uhuru wa kuingia maana nyumba tayari ni yangu, hivyo Mary alianza kufanya usafi pale. Saa sita mchana tuliagana na Michael kwa kuahidiana kuendelea kutafutana kwenye simu na tulipiga picha za ukumbusho.

Niliwaza kumpa Juma lile gheto ili aweze kukaa, maana alikuwa akitokea Mtumba kwao kila siku. Kodi ilikuwa imebaki ya miezi minne, na nikaona hiyo ni muda mzuri wa kumsaidia dogo ajipange kuanza maisha, hasa ukizingatia kuwa gheto lile lina kila kitu ndani.

Kufikia saa sita mchana, kila kitu kilikuwa kimekaa sawa kwenye makazi mapya, na tulianza kujiandaa kwa ajili ya kwenda matembezini. Wakati huo, Mary aliniambia kwamba kama tutapata nafasi, itabidi twende kumtembelea aunt yake anayeishi Chamwino, kwani mama yake alikuwa amempigia simu kumpa taarifa hiyo.

Tulianza kwenda Makulu kuonana na Maggy pamoja na kumuonesha nyumba yangu. Tulipofika, Maggy alitoka kutukaribisha ndani, lakini hakuwa akitarajia kwamba ningefika na mgeni, hivyo kwa haraka nikafanya utambulisho rasmi. Maggy alibaki akimtazama Mary kwa mshangao, kama vile hakuamini macho yake.

Baada ya mazungumzo ya nusu saa, nilimchukua Mary nje ili kumuonesha mazingira ya nyumba, tukazunguka mpaka nje ya uzio. Nilimweleza kwamba wakati ule tulipokuwa tunawasiliana na nipo Dodoma, nilikuwa nikija kwaajili ya kufanikisha hili. Alifurahi sana na kunipa pongezi kwa kazi nzuri niliyofanya.

Nilimuaga Maggy, kisha tukaanza safari ya kuelekea Iyumbu kuangalia plot yangu, kwani ilikuwa muda mrefu sijawahi kufika huko. Tulipowasili eneo la tukio, nikiwa mbali niliona miti imekua mikubwa sana. Miti hiyo niliipanda mwaka jana, kipindi kile nilipokuja Dodoma na Iryn.

Miti ilikuwa imerefuka na yenye kijani kibichi sana, lakini cha kushangaza, miti ambayo Iryn alipanda ndiyo ilikuwa mirefu zaidi kuliko yangu. Nilijikuta nikimkumbuka Iryn, kwani wakati tunapanda miti hii, alikuwa akilalamika sana kwamba miba inamchoma. Hizo kumbukumbu zilianza kunirudia kwa nguvu, na nikahisi uzito wa hisia zangu kwa Iryn.

Kulikuwa na mtu tuliyempa kazi ya kumwagilia miti wakati ule nilipokuwa na Iryn, hivyo nilimpigia simu kumtaarifu kwamba nipo eneo la tukio. Jamaa alifika ndani ya dakika kumi, na nilimshukuru kwa dhati kwa kuangalia miti yangu na kuimwagilia vizuri. Alikuwa amenifurahisha sana kwa jinsi alivyotunza miti hiyo, na nilihisi shukrani kubwa kwa juhudi zake.

Jamaa alimwulizia Iryn, akisema ni muda umepita tangu amuone, nami nikamdanganya kwamba atakuja hivi karibuni. Alikumbushia jinsi Iryn alivyokuwa akilalamika wakati tukipanda miti, na tukajikuta tunacheka pamoja kwa kumbukumbu hizo. Mwishoni, nilitoa shilingi elfu 50 na nikampa kama shukrani kwa kazi yake nzuri.

MARY: “Kumbe hii miti ulipanda na Iryn.”

MIMI: “Yeah! Ni kitambo sana miezi 8 tayari tangu tupande hii miti.”

MARY: “Mna historia ndefu sana.”

MIMI: “Unaona ile miti mirefu, alikuwa anaipanda yeye.”

MARY: “Na hapa sasa una plan gani?”

MIMI: “Hata sijajua bado, nikiokota hela nitajua project ya kufanya.”

Tuliendelea kuangalia mazingira na tukaondoka kwenda Chamwino kwa aunt yake maana hata yeye alikuwa hajui kama amehamia huku Dodoma, kwani mara ya mwisho alikuwa yuko Mwanza.

Baada ya kuwasili pale Chamwino Aunt yake alituelekeza mpaka nyumbani kwake na tukafanikiwa kufika. Tulikaribishwa ndani seblen na baada ya kuonana walikumbatiana na bila kuchelewa Mary alifanya utambulisho.

MARY: “Aunt huyu anaitwa Insider ni rafiki yangu sana.”

AUNT: “Ooh! Karibu sana kaka. Mary ulikuwa mdogo sana sahivi umekua mdada mkubwa kabisa, miaka inakimbia kwelikweli.”

MARY: “Hahaha! Ni muda mrefu hatujaonana. Dodoma umehamia lini? Mazingira ya nyumba yanaonekana kuwa mapya.”

AUNT: “Hapa tuna miezi miwili tayari toka tuhamie. Vipi huku una jambo gani?”

MARY: “Ni masuala ya research ndo yamenileta Aunt.”

AUNT: “Very nice na unasomea nini?”

MARY: “MBA.”

AUNT: “Dodoma umefikia wapi?”

Mary alichelewa kujibu hapa nahisi alikuwa akifikiri cha kusema;

MARY: “Nimefikia hotelini, Uncle yuko wapi?.”

Alihamisha mada haraka sana;

AUNT: “Uncle wako kasafiri si unajua mambo ya kazi, sahivi anasafiri sana.”

MARY: “Msalimie sana ni muda mrefu toka nimuone.”

Haikuchukua muda, tulikaribishwa kwenye dining kwa ajili ya chakula cha mchana. Wakati tunakula, mimi nilikuwa kimya sana kwa sababu Mary na Aunt yake walikuwa wakiongea sana.

Saa 10 jioni tuliondoka kurudi mjini na kipindi chote tuko barabarani Mary alionekana kuwa na furaha sana. Tulipanga tukirudi home tunapumzika halafu badae tutatoka kwenda Bambalaga.

Baada ya kurudi nyumbani, Mary alimpigia simu Jane na tukaanza kuzungumza naye. Jane alifurahi sana kuona tuko pamoja huku Dodoma. Habari kubwa alinambia kwamba mzee Juma ananitafuta sana, hivyo nifanye juu chini nimtafute maana hajataka kumpa namba yangu mpya.

Saa moja usiku tulienda Bambalaga ambapo kulikuwa na mkesha maalum kwa ajili ya sikuu ya ‘Mei Mosi’. Christian Bella alikuwa aki-perform hii siku na tulijitahidi kutafuta eneo zuri la kipekee, kisha tuka-kaa. Ingawa sehemu nyingi zilikuwa zimechukuliwa tayari, tulilazimika kutumia pesa ili kupata mahali pazuri pa kukaa.

Niliagiza heineken na Mary aliagiza wine, muda huu ambao tunakunywa nilikuwa nampiga Mary maswali ambayo ni very technical ili nione response yake;

MIMI: “Mpaka sasa uko single, unamaliza vipi shida zako?”

Aliniangalia kisha akatabasamu;

MARY: “Hii hali nimeizoea na ninaona kawaida tu.”

MIMI: “Au unatumia zana maana technolojia imekua sahivi, unaweza kujipa raha mwenyewe.”

Mary alicheka;

MARY: “Insider bhana, siwezi tumia hizo zana mimi sio mwanamke wa namba hiyo. Most of time nakuwa busy na mambo yangu na inanisaidia sana.”

MIMI: “Prisca akija kujua ulikuwa huku na mimi, akasema tumesex utamjibu nini?”

MARY: “Sikuzote ukweli wa mtu unaonyeshwa na moyo wake. Ingawa mtu anaweza kuwa na mashaka, siwezi kubadili mtazamo wake. Lakini ukweli utadhihirika, kwa sababu hatuja fanya jambo lolote. My turn, ni vipi uliweza kudate na Prisca, Iryn, na mke wako kwa wakati mmoja?"

MIMI: “Sio kweli, mimi nimeanza kudate na Iryn baada ya kuachana na Prisca, na siwezi kudate na wanawake watatu kwa wakati mmoja.”

MARY: “Unawezaje kuwamudu bila wife kujua kinachoendelea? Je na wao wanaridhia kuwa mchepuko?”

MIMI: “Prisca aliridhia, Iryn pia aliridhia mwenyewe, suala la kuwamudu ni kutuliza akili, ila Prisca alishindwa maana wife alijua kinachoendelea.”

MARY: “Sijui Prisca ulimpa nini maana alipagawa sana, naona sahivi kaamua kumove on.”

MIMI: “Na hiki ndo nilikuwa nataka, nafurahi kuona kafanya maamuzi. Kwasasa acha nifocus na familia yangu.”

MARY: “Kwanini unachepuka usitulie na mwanamke mmoja?”

MIMI: “Kuna sababu nyingi mpaka mwanaume anachepuka, lakini kwa ujumla naweza kusema tumeumbwa hivi ndomana unaona babu zetu walioa wake wengi sana, wazungu ndiyo wameleta sheria zao.”

MARY: “Hahahaaa! Insider aya bhana.”

Mary alionekana kuanza kuelewa nami nilimtambua na nilimvuta tukaanza kucheza pale.

Saa sita za usiku tulirudi home, mimi nilibaki pale seblen nimetulia na kubwa nilikuwa kwenye mawazo kuhusu Iryn. Kitendo cha kwenda Iyumbu nilikuwa nimetonesha kidonda maana kumbukumbu zangu zilirudi kwa kasi sana.

Niliwaza Iryn yuko wapi na kwa nini hapatikani hadi sasa. Je, hali yake iko vipi? Yuko salama au la? Nilipanga kesho nijaribu kumtafuta kwa simu, lakini nikakumbuka kuwa nilifuta namba zote, ikiwemo za kaka yake Jimmy. Nikaona bora niwasiliane na Hilda na kumuomba nijaribu kumcheki kupitia WhatsApp kwa mara nyingine tena.

Mary alikuja pale seblen na akakaa karibu yangu na alianza kunichezea mustach wangu;

MARY: “Unaonekana haupo sawa unashida gani? Pombe inakusumbua?”

Na aliinukana akaenda kunileta coke ya baridi ili nipunguze hangover;

MIMI: “Thank you mimi niko sawa hata usijali.”

MARY: “Why umekaa muda mrefu hapa?”

Muda huu, alianza kunipapasa kifua changu, na bila kuchelewa, alijaribu kukoki AK-47, lakini silaha ilikuwa haitaki kukoki. Alijua kuna kitu hakiko sawa, kwa hiyo alikaa juu yangu na akaanza kuniuliza nina shida gani?.

“Una shida gani? Mbona kipindi tunacheza wote nilikuwa naifeel kabisa.”

Mimi muda huu nilikuwa nawaza kama nitamla naweza kusababisha matatizo makubwa sana huko mbeleni kwenye familia yao. Nilijua Mary alikuwa amelewa na hayuko katika hali yake ya kawaida, na sikutaka aje kujuta kwa maamuzi mabaya yaliyosababishwa na pombe.

Muda huu yeye alikuwa haelewi kabisa na alionesha dhahiri anataka kuliwa;

MIMI: “Mary stop this, hauko kwenye akili yako sitaki lawama baadae.”

MARY: “I’m okay and I know what I’m doing.”

Alinipa greenlight, hivyo nilimvua night dress aliyokuwa amevaa, na kila kitu kilikuwa wazi. Ugonjwa wangu ni vifuu, na nilianza kucheza navyo taratibu. Bila kuchelewa, nikamlaza kwenye sofa na coochie yake ilikuwa wet tayari. Nilimbeba juu hadi chumbani na kumtupa kitandani kwa ajili ya kuanza vita.

Nilipigapiga kwanza antena yake kutafuta frequency na kitu kiliitika shwaa!. Nilianza kuchomeka magazine, lakini wapi ikawa inanigomea. Niliogopa asije kuwa bikra, hivyo nikamuuliza juu ya hili, akasema ni muda mrefu hajafanya, hivyo twende taratibu. Ilibidi nitumie mbinu za kitalibani, ile slowly slowy huku nampa maneno matamu, mwisho wa siku anasema ‘Aah’ magazine ishazama muda mrefu.

Ilikuwa kwa mbinde sana lakini nikafanikiwa. Alikuwa akibana misuli, hivyo ilibidi nianze kucheza na vifuu vyake taratibu hadi nilipoona kalegea tena, hapo ndipo nilipoanza kazi. Kelele za uchungu na utamu zilitanda hewani, lakini sikujali kwani niliendelea kuisugua kwa nguvu.

Zilikuwa ni fujo pale kitandani miguno mwanzo mwisho. Baadae nikamuweka 🐕 na hapa sasa nikawa naenjoy kuchezea nyashi yake laini. Baada ya kuona analalamika sana ilibidi nimuache maana mtoto aliutaka, lakini mapigo yalimshinda. Mashuka yalikuwa chapachapa hayafai tena ikabidi pambano lihairishwe until further notice.

Tuliingia bafuni kuoga, nikamuogesha, na baada ya hapo tukarudi kulala. Asubuhi, baada ya kuamka, tuliendelea tena na pambano letu. Mary hana utofauti na Prisca ni moja ya wanawake ambao hawachoshi ukiwa nao kitandani.

Hii siku siji isahau maana tulishinda tunakulana siku nzima mpaka nikasahau kwenda dukani. Kwa upande wake alikuwa analalamika coochie inauma na kweli ilikuwa imevimba balaa. Mimi pia bunduki yangu ilikuwa imepiga kazi mpaka inauma, sio poa.

Jumanne dada alirudi dukani na aliendelea na majukumu yake, nami niliendelea kusimamia ofisi zote. Mary alikuwa bado hayuko vizuri na nilimtafutia dawa ya kumuweka sawa na siku ya jumatano nilimpa kampani ya kukusanya data.

Habari njema Aggy alitusaidia kutupa connection pale kazini kwake, Maggy naye hakuwa mbali kutusaidia na tulimaliza kwa mafanikio makubwa sana. Kufikia jumamosi ya kwanza ya mwezi may alikuwa kamaliza kila kitu na alisema baada ya Dodoma atakwenda Mwanza kwaajili ya kuendelea na research.

Mary aliondoka Dodoma jumatano ya week ya pili ya mwezi may kurudi Dar es Salaam. Ukitoa siku mbili alizoumwa baada ya kusex, zilizobaki zote ilikuwa ni kazikazi mpaka anaondoka tulikuwa tumewekana vya kutosha.

Nilimkatia ticket ya ndege na nilimsindikiza Airport, ukweli sikutamani aondoke kabisa maana alishakuwa kama mke wangu. Kwa upande mwingine mimi na Mary tulianza mahusiano rasmi, na yeye aliridhia kuwa mchepuko kwa makubaliano akipata mtu sahihi ataendelea naye.

Mary aliporejea Dar es Salaam, tuliendelea kuwasiliana, na penzi letu lilikuwa moto sana na alionyesha waziwazi kwamba ananipenda. Nilijihapia kutokuchepuka na mwanamke mwingine, na niliona kwamba Mary anafaa kuwa mchepuko, huku mama J atabaki kuwa mama wa familia."

Pia, niliongea na Mary kuhusu suala la kunizalia mtoto. Alisema tutazungumzia hili kwa kina nitakaporudi Dar es Salaam. Nilikuwa na mpango wa kurudi Dar kabla ya mwisho wa mwezi, lengo langu likiwa kukaa na familia yangu na pia kumwona mzee Juma.

*****
Mnamo tarehe 20 Mei, ilikuwa ni Jumamosi, na siku hiyo nilikuwa nimetulia nyumbani nikipanga mipango yangu, hasa kuhusu kurudi shule. Simu yangu ilianza kuita kutoka kwa namba ngeni, na nilipokea pale;

“Hallo”

“Habari, bila shaka naongea na Insider Man.”

“Yes! Hujakosea wewe ni nani?”

“Mimi naitwa Josephine napiga simu kutoka Hotel X. Kuna mgeni wako yuko hapa hotelini, hivyo anaomba ufike na utaniulizia mimi ukifika reception.”

Nilisizi kwa sekunde kadhaa;

“Sawa haina shida.”

Niliwaza pale ni nani huyu ananitafuta? Nikakumbuka nimewapa namba zangu matajiri wengi sana ambao walikuwa wanaonesha shauku ya kufanya kazi na mimi, hivyo nilijisemea wacha niende.

Niliingia bafuni kuoga kisha nikajiandaa kwa haraka. Nilipigiwa simu na moja ya hotel kubwa hapa mjini Dodoma, hivyo nilipendeza kwa kiasi chake. Nilivaa jeans yangu, juu nikavaa shati yangu ya draft yenye rangi ya blue na chini nilivaa raba ya Adidas ‘Gazelle’.

Niliwasha gari na kuelekea hotelini, na ndani ya muda mfupi nilikuwa nimewasili kwenye sehemu za maegesho nje ya hoteli. Nikashuka huku nikiwa na notebook na pen mkononi, kwa sababu nilihisi kuwa itakuwa ni masuala ya kazi.

Nilipofika reception, nilimuuliza Josephine kama alivyonielekeza, na nikambiwa nimsubiri. Nikaenda kukaa nikimngojea. Ndani ya dakika 10 alifika, kwanza alianza kunishangaa, na nahisi alikutanana na mtu nje na matarajio yake.

“Wewe ni Insider?”

“Ndiyo mimi, kuna tatizo?”

“Okay wait, ngoja nikakuitie mgeni wako.”

Mimi niliendelea kukaa pale kwenye sofa “hotel lobby” nikisubiri na niliendelea kuwaza ni tajiri gani huyu ambaye anataka kuonana na mimi?.

Zilipita dakika 10 namuona Jimmy kwa mbali anakuja usawa wangu kaongozana na dada, kwanza sikuamini kweli yule nayemuona ni Jimmy. Baada ya kufika karibu, nilithibitisha kwamba ni yeye, hivyo niliinuka na tukakumbatiana pale maana ilikuwa ni surprise;

MIMI: “Bro! Is it you or am I dreaming?”

JIMMY: “No brother, you’re not dreaming, it’s really me.”

MIMI: “It’s been a long time.”

JIMMY: “I missed you, but your phone number is no longer available.”

Ghafla nikaona Jimmy kanyamaza na alikuwa akiangalia kitu nyuma yangu. Nilipogeuka, namuona Iryn amesimama, tumbo limekua kubwa, anang’aa sana na amekuwa mzuri maradufu. Sikuamini nachokiona muda huu ni kweli au naota? Nilisimama, tukaanza kuangaliana.

TO BE CONTINUE
Next episode usichelewe sana kaka
 
Kama Namba mpya umesajili kwa Nida yako mbona namba anaipata fresh kabisa kupitia kwa namba yako ya zamani

Nenda tu kwa wasajili Line na namba ya zamani, wanaipta nida na orodha ya namba zako za mtandao husika
Kumbe… ila huyo manz itakuwa kuna namna nyingine alifanya mpaka akaipata.

Nahisi huenda huyo manzi ambaye ame kaimu nafasi ya INSIDER ndo kagawa namba au mama J
 
TO BE CONTINUED
Utamuuu unazidi tu
 
Back
Top Bottom