Jina lake ni Abdulrauf Songea Mbano siyo Songea Mbano Sultani wa wangoni wakati wa vita vya Majimaji 1905 - 1907

kwel ww pumbav dini imekufanya uwe fala mpaka unakataa ukweli.
Du!We kweli kiazi ulaya umekaririshwa tu mitaala yenu,nawe ukaimeza hivyohivyo kama ilivyo. binadamu anatokana nanyani ukasema ndio.waomani waliamishia makao makuu yao Zanzibar baada yakugombana wanandugu na wewe ukajibu ndio.hongera wasomi wetu tuleteeni maendeleo basi ktk taifa letu tz
 
kweli ww malay.a wa dini nahusika nini na upumbavu wenu wa majahazi na wazungu?
 
Hahaaaaaa hata hili jina la kinjikitile litakuwa si sahihi kabisaaa...

Watu watofautishe FACTS na OPINIONS...
Sijawahi kuona mtu anapinga uwepo wa utumwa katika pwani ya Afrika mashariki yaani makumbusho ya masoko yote ya utumwa yaliyopo ;bado kuna mtu anaamini huu ni uzushi ilhali anakubali kuwa ukoloni ulikuwepo pasipo kujua kuwa utumwa ulikufa kutokana na maandalizi ya ukoloni katika Afrika......

Ukristu sio uzungu na uarabu si uislamu ...sijui ni nini kigumu watu kuelewa
Hayupo aliepinga ispokua kunakamchezo ktk historia kamechezwa.mfano ktk mji wa kilwa historia yake iliyoandikwa rasmi inasomeka ktk vitabu vingi tu iliyoandikwa kuanzia mwaka 905 na mwarabu ali masud.na mwingine alieandika ni ibin batuta ktk mwaka 1332 alipotembelea kilwa.lakini haukuti haya!sasa tuwaweke pembeni hawa labda kwakua nawao ni waarabu wameficha mambo.tuje kutumia akili tu zakuzaliwa kwanini hawa wazee wamekaa na waarabu kwazaidi ya miaka 500,hawakupigana nao? wakati walikua wanawafunga kama wanyama!lakini tu walipokuja wazungu wakaanza kupigana nao?
 
IMG-20180318-WA0161.jpg
 
mpk leo zanzibar wanatoa shule za mwsho 6/7 ktk top10 za shule zilizofanya vibaya.kusini ndo usiseme huko...21st C bado una na blaming game,hizo hazitawafikisha popote take initiatives...wacha porojo za kkoo huu co wakati wake.
Na wamshukuru sana Mwl Nyerere kwa kutaifisha shule za wakristu... Yaani asingetaifisha, education gap kati ya waislamu na wakristu lingekuwa kubwa sana....

Akina JK, Salim Ahmed Salim, Makamba na wengine, ni products za seminari...
 
Ngalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.

Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.

Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
 
Ngalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.

Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.

Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
Mkuu,
Tatizo lako kubwa lipo hapa.. Waislamu wanaonewa, na wanaowaonea ni wakristu, has RC

Kwa mtazamo huu, kila jambo ni mnaonewa tu.. Kila thread unayoianzisha, INA MAUDHUI YA WAISLAMU KUONEWA... Yaani kama akina mama wanavyolalamikia mfumo dume, NYIE MNALALAMIKIA MFUMO KRISTU
 
Ngalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.

Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.

Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
fafanua hapo...ni kwa vipi wizara imekuwa kikwazo,mitihani ni ya aina moja,ni kwa vipihuwa wanajua huyu i Mkristo na huyu sio...je ktk kusahihisha mitihani ya kitaifa huwa wasahihishaji Waisilamu huwa hawachukukiwi?.
 
Ngalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.

Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.

Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
hata wizara ukipewa wewe uongoze utarudi tena hapa kutoa povu..nyinyi ni watu wa kulalamika popote pale duniani.huu sio wakati wa blaming game
 
Mkuu,
Tatizo lako kubwa lipo hapa.. Waislamu wanaonewa, na wanaowaonea ni wakristu, has RC

Kwa mtazamo huu, kila jambo ni mnaonewa tu.. Kila thread unayoianzisha, INA MAUDHUI YA WAISLAMU KUONEWA... Yaani kama akina mama wanavyolalamikia mfumo dume, NYIE MNALALAMIKIA MFUMO KRISTU
Ngalikihija,
Sijui kwa nini umelipenda neno hili "kuonewa," mimi sijapata kulitumia popote.

Ninachofanya ni kuhifadhi historia ya kile kilichopitika.

Wayahudi wamefanikiwa sana katika kuhifadhi historia yao.

Ikiwa huijui jana yako hutoifahamu leo yako.
 
ndio anaona.cha muhim sana kurithisha watoto. mkuu watu dizain hii wala usihangaike nao maana ndivyo alivyo ni nature yao.
Mkuu sio hivyo unavyofikia,historia ya maarufu walioipigania nchi lazima iwekwe wazi ili vizazi vijavyo wajue nini kimetokea wakati wa utawala wa kikoloni,..

Mtoto wangu wa miaka saba alikuwa anasoma nchi moja ya ulaya,siku moja katika maongezi ya simu akanambia "baba leo tumesoma historia ya zamani ya wafalme na vitu walivyofanya,mfano majenzi ya makanisa vita walivyopigana nk " ....yani alikusudia hiyo nchi anayosoma,sasa swali likaja akataka nimuelezee historia ya wafalme wetu Tanzania na mambo waliyofanya,....kwa ukweli nilishindwa,nilijaribu kumuelezzea kidogo kuhusu vita vya maji maji sio zaidi..

Hapa Tanzania historia nyingi za machifu hazipendwi kuongelewa au kufundishwa shuleni kwasababu za Kidini au Kikabila,watawala wanaona wakianza kufundisha watakuwa wanakuza baadhi ya makabila au watazikuza baadhi ya dini,...Lakini kwa kweli Tanzania ina historia nzuri sana ya machifu wake,...

Kule Marekani na hata nchi nyengine za ulaya wanaamini kuwa wafrika wamezaliwa kuwa watumwa,wafrika walikuwa ni watu wanaozagaa zagaa porini kama wanyama,...

Kama historia yetu hatujailezea sisi wenyewe nani ataielezea nani atajua kama na sisi tulikuwa na wafalme wenye nguvu walioweza kupigana na mataifa makubwa makubwa..
 
Chabuso,
Nimekusoma...
Ukweli ni huo Mkuu,wanazizika hadithi na stori muhimu za machifu wa Tanzania kwa kuogopa kuwa kuwasifia inawaza kuleta muako wa kidini au kikabila katika jamii..,

Watoto ulaya wanasomeshwa akina Captain Cook na maharamia wengine ambao walikuwa "slave handler" au "Pirates" ambao walikuwa wanavamia majahazi na kuiba mali za watu,wazungu wanawasomesha watoto hayo mambo kwasababu ni moja kati ya historia yao hawawezi kuipinga historia yao ikiwa ni nzuri au mbaya,...

Kuipinga historia yako ni sawa na kupinga uwezo wako wa kuwepo duniani(right of existence)..
 
Ha Ha Ha Ha Eti Mkwawa Muislamu Acheni Ujinga Basi Wahehe Na Wabena Wote Wangekuwa Waislamu
 
Sultani Abdulrauf Songea Mbano
Kibao kimeandika jina lake kama ''Lwafu'' Nduna Mbano

Kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano

Kwa miaka mingi sana na hadi leo jina la Sultani wa Wangoni Abdulrauf Songea Mbano Jemedari wa Wangoni katika Vita ya Majimaji, jina lake la ‘’Abdulrauf’’ moja ya sifa za Allah ikiwa na maana ‘’Mwenye Huruma,’’ lilikuwa halifahamiki kwa wengi na wanahistoria kwa sababu zao hawakutaka kulisema lijulikane kama vile wengi hawajui kuwa Sultani Mkwawa jina lake ni ''Abdallah.''

Tukija katika historia ya miaka ya karibuni zaidi si wengi wenye kujua kuwa Kleist Sykes jina lake ni Abdallah, au Schneider Plantan jina lake ni ''Abdillah.''

Kaburi la Kleist Sykes

Tunaweza tukasema kuwa haya yote ni matatizo ya ukoloni. Lakini swali linakuja iweje hata baada ya ukoloni kutoweka ikabakia historia yetu hatuiweki sawa?

Leo gazeti la ''Habari Leo,'' (28 Februari, 2018) ukurasa wa mbele imetoka picha ya kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano jina linalosomeka katika kaburi hilo ambalo ni la Kiislam ni ‘’Songea Mbano,’’ na jina lake halisi ''Abdulrauf,'' halipo.

Laiti kama Sultani Abdulrauf asingezikwa katika kaburi la Kiislam mengi katika historia ya Majimaji yasingelipata ushahidi madhubuti ukizingatia kuwa katika wale majemedari walionyongwa na Wajerumani, majina yao ya Kiislam yalifutwa yakawekwa mengine.

Atakae kusoma zaidi kuhusu historia hii aingie hapo chini:
  1. Mohamed Said: SULTAN ABDUL RAUF BIN SONGEA MMOJA WA MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI NDIYO HUYU SONGEA MBANO?
  2. Mohamed Said: KUTOKA JF: MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI - SULTAN SONGEA BIN RAUF NA SHEIKH SULTAN MATAKA BIN HAMIS MASSANINGA
  3. Mohamed Said: KUTOKA JF: UCHAKACHUAJI WA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI
  4. Mohamed Said: MAREHEMU SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU MAKALA YAKE KUHUSU VITA VYA MAJI MAJI
Kwa iyo unatakaje ww? Au unataka kusema nn hasa?
 
Ha Ha Ha Ha Eti Mkwawa Muislamu Acheni Ujinga Basi Wahehe Na Wabena Wote Wangekuwa Waislamu

Hii ni picha ya Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa,sasa sijui huyu na Mkwawa aliepigana na Wajarumani wana ujamaa,kama wana undugu kutokana na jina la huyu jamaa basi hawa watu walikuwa waislam

sa.jpeg

Picha chini portrait ya Chifu Mkwawa
mk.jpeg
 
Ha Ha Ha Ha Eti Mkwawa Muislamu Acheni Ujinga Basi Wahehe Na Wabena Wote Wangekuwa Waislamu
Eddy,
Hapana haja ya kutumia lugha kali na kuitana "wajinga."

Ilikuwa kwako ni kutaka ushahidi ili ithibitike.
Hii ni adabu njema na uungwana.
 
Back
Top Bottom