Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Dah! Nilikuwa nautafuta uzi wa mkuu Kichuguu , uliohusu vita ya Kagera nika kutana na huu wa kamanda mwenyewe Jenerali Tumainieli Kiwelu.
Hata pale Karagwe, tulikuwa na watu fulani pale ambao ni kanisa fulani sitaki kuwataja nao pia walikuwa na redio ya mawasiliano, ukiona utafikiri mtu anapiga kinanda kumbe anapeleka taarifa,
Watu wa kanisani kavu sana
Taarifa zipo' ila jeshi letu na vyombo vya usalama hawana kawaida ya kuweka mambo hadharani..yamefanyika makosa makubwa kuacha makamanda wakubwa wa Jwtz wafariki bila kuandika historia na mchango wa jeshi letu.