Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,717
Wayahudi ndo walijenga ma pyramids.
Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Hata wewe usipotoshe firauni na mtume Muhammad (SAW) wapi na wapi? Firauni ni wa enzi za nabii Mussa (moses) (AS)Usipotoshe..Firauni alikuwa ni Pharao wa enzi za Mtume Muhammad. Ma-farao katika historia ya Misri ni wengi sana.toka enzi za Mtume Musa.na hata kabla yake.Ukiwahesabu katika ''dynasties'' ni wengi mno.
Na Firauni enzi za Mtume Muhammad alishakuta pyramid zimejengwa.
Huyu Pharao Ramses III aliishi miaka elfu moja kabla ya hata Yesu mwenyewe hajazaliwa.
Kwa kifupi ..Yesu aliyakuta ma-pyramid yashajengwa miaka elfu iliyopita ..na akawa anayashangaa kama sisi tunavyoyashangaa.Mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu.
Elewa kuwa Firaun ni neno la kiarabu lenye maana sawa na Pharaoh au mfalme wa Tawala ya Misri. Mtume Muhammad alikuta mtawala eneo lote la Misri na Levant,lakini hakuwa na asili ya watu wa Misri,alikuwa anaitwa Emperor Heraclius wa Byzantine Roman empire.Watu wa misri walimwita Heraclius mfalme wao wa Misri.Hata wewe usipotoshe firauni na mtume Muhammad (SAW) wapi na wapi? Firauni ni wa enzi za nabii Mussa (moses) (AS)
Hata wewe usipotoshe firauni na mtume Muhammad (SAW) wapi na wapi? Firauni ni wa enzi za nabii Mussa (moses) (AS)
Sawa mkuu in that perspective nina compromise if at all the prophet saying referred Abu Jahl as firaun in comparison to that of Moses (AS) and all other firaun down the history lane in disobeying the teachings of the prophets/or ruling themselves as god in their empire/Kingdom''The Prophet (saws) is reported to have said in another narration that “every Messenger has a Firaun and the Firaun of my ummah is Abu Jahl''
Hii ni hadith inayomhusu Nabii Muhammad. Elewa matumizi ya neno Firaun ni pana kati ''Hadith''
islampolicy: The Day of Ashura – In Commemoration of Musa and his Struggle with Firaun!
Stay tuned..Sawa mkuu in that perspective nina compromise if at all the prophet saying referred Abu Jahl as firaun in comparison to that of Moses (AS) and all other firaun down the history lane in disobeying the teachings of the prophets/or ruling themselves as god in their empire/Kingdom
Kwa sisi tulio wengi tumeaminishwa kupitia mafundisho ya vitabu vya watu weupe, yaani wazungu na waarabu, kuwa ma-Pharaoh wa Misri walikuwa ni watu wenye asili kama ya kwao na kwamba ma-pyramid yalijengwa na jamii iliyokuwa na maendeleo ya hali ya juu sana na haiwezekani hata kidogo watu hao wakawa ni watu weusi, yaani waafrika.
Hata Ma-freemason/illuminati wanatumia sana alama za ma-pyramid-ishara yakuwa watu hawa hawakuwa wa kawaida.
Aibu imewakuta watu weupe ma-egyptologist walioamini kuwa mtu mweusi -negro .. hana uwezo wa hata kuwa na maarifa yanayo fanana na Egypt ya ma-pyramid..kifupi wameumbuka.
DNA ya Pharaoh Ramses III imethibitisha farao huyu alikuwa mweusi piiiii,tena asili yake ni hapa Afrika mashariki.. DNA yake imepewa jina inaitwa E-V38. Kinasaba hiki kinapatikana sana kwenye damu za wanaume wa Afrika mashariki,na si kwingineko.
Why Hollywood Thinks the Pharaohs Were White
Ukweli nd'o huu
Haplogroup E-V38 - Wikipedia, the free encyclopedia
Ma-Pharaoh ni ndugu zetu, tena wa damu.. wanasema waingereza ''Science doesn't lie''
Maelezo ya Malcom X.
Huo ndio ukweli. Musa alijifunza kusoma na kuandika kwenye Nursery ya Farao..kabla hajaandika hiyo biblia-Agano la Kale au Torati.Somo lako linasisimua mwili ndugu yangu teh teh,
Sasa huu utawala ulipotelea wapi hadi sasa maana kule yamebaki magofu tu!Huo ndio ukweli. Musa alijifunza kusoma na kuandika kwenye Nursery ya Farao..kabla hajaandika hiyo biblia-Agano la Kale.
Hoja yako ina utata, ni wapi mchina na mchina wakamzaa black au black na black wakamzaa mzungu,!Si wamisri tu hata wayahudi walikuwa ni Blacks
Jamii zote za wanadamu asili yake ni Afrika
Cha kusikitisha,huu ukweli haujulikani kwa watu wengi