Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Habari ya 'weekend' wakuu?

Mimi nimekuwa mpenzi sana wa uvaaji kofia. Na kofia ninayoipendelea zaidi ni zile wazungu waziitazo Ivy Caps.

Lipo jambo moja ambalo nimelishuhudia tangu ninakua, ni kuwa ukikutana na mtu aliyekuzidi umri then ukawa unamsalimia basi ile kofia unaivua, baada ya salamu unaivaa. Nami kwa kufuata mazoea basi huwa nafanya hivyo pia.

Basi leo nimemsaliamia mzee mmoja nikajisahau kuivua, yule mzee hakuonesha kukwazika, kinyume na nilichokitegemea.

Swali ninalouliza, je uvaaji kofia ni ishara ya uhuni kwa mila zetu watanzania? Au ni baadhi ya makabila tu?

Na kutovua kofia wakati wa salam je nao ni uhuni?

View attachment 1056316View attachment 1056317View attachment 1056318

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kofia sizipendagi kinyama, i rather stay bald headed!
 
Cap ni ipi jaman..
images.jpeg

Ukiskia Cap ndio kama hii!
 
yes hii namim naijua inaitwa cap..ss men wa age a 35 avae hii mm sipend kbs..sasa wadogo zake wa 23 wavae nn..mm hapana kwakweli
Hahahah we utakuwa unachukulia sivyo, ila love is compromising! Sikulaumu maana pia mie sipendi mwanamke avae vikuku in the same manner we haupendi mtu avae kofia.
 
Back
Top Bottom