Je, ni vibaya kuandika jina la mtoto katika kiwanja cha mke wangu?

Si mkeo tatizo lipo wapi mkuu

We dagii...mkeo ndio nini....?.huyu sio ndugu yako!...kikinuka siku atakutupia vitu nje.huwezi jua na kiwanja chenyewe labda wapo na familia yake...?.Nunua chako andika jina la mwanao.Ndo ninyimnakuja JF kuomba ushauri mkeo akitimkia kwa mchepuko wake.....be a man,deal with it!
 
huyu jamaa anafunga ndoa mwezi ujao.... hamuamini mkewe anayefunga nae ndoa mwezi ujao? kuna haja gani ya yeye kuoa......?


Kuna mtihani mkubwa katika hii issue ukiingia deeply!!
Makabila mengi mtoto aliezaliwa kabla ya ndoa ni Mali ya mama. Kwa hiyo hata kama kiwanja kitaandikwa jina la huyo mtoto lakini bado mama ana nafasi kubwa zaidi maana ndie mwenye mtoto!!
 
Ha ha haaa mke mtarajiwa yuko 'one step ahead of you' na ukimuoa ndo ataku manipulate vizuri.
 
Kuna vitu unatakiwa kuvijua kama Mwanaume na uwe makini navyo
1. Kwanza huyo mke mtarajiwa sio mkeo...muda wowote anaweza fanya option B.
2. Ili mali iwe yako lazima iwe na umiliki wa jina lako
3. Usipende kufanya maamuzi kwa influence ya hisia za mapenz....utakuja juta
4. Mwanaume wahi kusoma akili ya mtu before ajasoma your mind....kwanini msijenge kwenye kiwanja mlichonunua wote ambacho mmeandika jina la mtoto akasema ukajenge kwake.
TRUST YA KUSHARE MAPENZI NI TOFAUTI NA TRUST YA KUSHARE MALI. Kua Makini
 
Sababu kiwanja ni chake na sio chako yeye ndio atakuwa na maamuzi au mshirikishe / mshauri kwenye maamuzi huwezi kumuamilia kitu ambacho hataki au bila kushirikishwa
 
Kwani amekuoa au umemuoa? Hamsini kwa hamsini mbona ni kama imeshanza hata kabla sijaoa!
 
Si vibaya kuandika jina la mtoto au la mkeo,
Wewe kama wewe una kiwanja kingine au hicho ndio cha kwanza? Kama huna kiwanja kingine kwa jina lako inabidi uwe makini, unaweza kurudi tena hapa jf kutafuta ushauri.

Kwa nini msiandike Mr and Mrs?
sishauri kuandika mr and mrs kwa sababu mrs jina hilo can be anybody
mfano mr and mrs jacob mushi kesho mmeachana kaoa mwingine fasta naye ataitwa mrs mushi.
instead aandike jacob mushi n maria chacha
kama swala ni kuwa na majina yote mawili katika hati.
 
Back
Top Bottom