Si mkeo tatizo lipo wapi mkuu
Ukinywea bia je!
Upo darasa la ngapi!
Kuna mtihani mkubwa katika hii issue ukiingia deeply!!
Makabila mengi mtoto aliezaliwa kabla ya ndoa ni Mali ya mama. Kwa hiyo hata kama kiwanja kitaandikwa jina la huyo mtoto lakini bado mama ana nafasi kubwa zaidi maana ndie mwenye mtoto!!
samahani lakini...hao watoto ni wako kwelii.??
Kwani amekuoa au umemuoa? Hamsini kwa hamsini mbona ni kama imeshanza hata kabla sijaoa!
sishauri kuandika mr and mrs kwa sababu mrs jina hilo can be anybodySi vibaya kuandika jina la mtoto au la mkeo,
Wewe kama wewe una kiwanja kingine au hicho ndio cha kwanza? Kama huna kiwanja kingine kwa jina lako inabidi uwe makini, unaweza kurudi tena hapa jf kutafuta ushauri.
Kwa nini msiandike Mr and Mrs?