bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Kwahiyo mkuu unamwongeleaje mtu kama huyu; mmemaliza naye form 4 akaingia kwenye majeshi either JWTZ, Police etc, wewe ukafaulu ukaenda advance huku ukipongezwa baadae unafka chuo kikuu unasomea ualimu na kuwa mwalimu. Yule aliyefeli mtihani kidato cha nne ana mshaara mzuri na maisha mazur kuzidi mwlm mwenye degree. Kama maisha yana formula nani alistahili kuwa na maisha mazuri kati ya hao niliowasema?
Sawa tuseme ni ufahulu hafifu, sasa unaonaje hapo nani alistahili kuwa na maisha mazuri?
Ndugu hujampa majibu yalionyoooka, hakuna ajuae kesho, ndo mana kila kukicha tunamuomba Mungu, Maisha hayajanyooka, kifupi Ni kwamba Maisha hayana formula hata kidogo, hakuna anaependa kufa kwa ukimwi lakini watu wanaupata bila kujua wanaangamia ma malengo Yao yote yanaanza kufifiaJeshi gani linaajiri waliofeli? Division four nzuri sio kufeli ni ufaulu