GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,101
- 2,230
JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.
CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.
Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa