Je ni kweli CHADEMA imekufa?

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,101
2,230
JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?

Habari ya jioni wadau

Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.

Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.

CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.

Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
 
gentleman,
atiba ya mazishi na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha chadema, muwakilishi wa chademag55, ameahidi kutoa muelekeo katika muda usio kua mrefu, baada ya mashauriana na uongozi, kabla ya kumpumzisha chadema kwenye nyumba yake ya milele,

kwa sasa,
ni muhim kua wastahimilivu na wenye subra katika kipindi hiki kigumu ambacho, ndoto za wanachadema maelfu, nazo zimekufa na kuuawa sambamba na chadema Taifa kwasababu ya uropokaji wa wa kizembe kabisa wa viongozi wasio na maono 🐒
 
Kama CHADEMA imekufa basi ccm imeoza kabisa😂
 
Kama mnaamini cdm imekufa basi punguzeni nguvu kubwa mnayoitumia kupambana na chama mfu (cdm)
 
Viongozi wa chadema wanaovaa kama mgambo ,wameanza kudharauliwa na wananchi ,na kila kukicha wanazidi kuonyesha mapembe yao ,ni wazi siasa hawana na hawaijui, wanahisi kusema mpaka ukatokwa na mishipa ya shingo ndio siasa, huwezi kutongoza ikiwa umekasirika ,sasa unapokuwa tokea mwanzo mpaka mwisho unahutubia kwa muonekano na sauti ya hasira , uelewe wananchi huwa hawasikilizi na kuyatia akilini unayowaeleza bali wanavutiwa na namna unavyo rapu ,wanakufurahia wanakupigia makofi ukidhani wamekuelewa kumbe hapana wanashangilia unavyopiga chenga ,mpira ukimaliza watu wanachawanyika wakisifia ulivyosema bila ya kuyapa umuhimu wa kuyafanyia kazi au kuyatekeleza ,
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
 
JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?

Habari ya jioni wadau

Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.

Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.

CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.

Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
Hiyo chadomo mazishi yake yanamsubiri m/kiti wake kutoka gerezani.
 
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
Kwan viongoz waliachiwa baada ya polisi kuogopa watu gani waliowaandama?
 
Viongozi wa chadema wanaovaa kama mgambo ,wameanza kudharauliwa na wananchi ,na kila kukicha wanazidi kuonyesha mapembe yao ,ni wazi siasa hawana na hawaijui, wanahisi kusema mpaka ukatokwa na mishipa ya shingo ndio siasa, huwezi kutongoza ikiwa umekasirika ,sasa unapokuwa tokea mwanzo mpaka mwisho unahutubia kwa muonekano na sauti ya hasira , uelewe wananchi huwa hawasikilizi na kuyatia akilini unayowaeleza bali wanavutiwa na namna unavyo rapu ,wanakufurahia wanakupigia makofi ukidhani wamekuelewa kumbe hapana wanashangilia unavyopiga chenga ,mpira ukimaliza watu wanachawanyika wakisifia ulivyosema bila ya kuyapa umuhimu wa kuyafanyia kazi au kuyatekeleza ,
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
Hayo madhaifu si ndio furaha yenu, kingine nini mnataka?
 
gentleman,
atiba ya mazishi na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha chadema, muwakilishi wa chademag55, ameahidi kutoa muelekeo katika muda usio kua mrefu, baada ya mashauriana na uongozi, kabla ya kumpumzisha chadema kwenye nyumba yake ya milele,

kwa sasa,
ni muhim kua wastahimilivu na wenye subra katika kipindi hiki kigumu ambacho, ndoto za wanachadema maelfu, nazo zimekufa na kuuawa sambamba na chadema Taifa kwasababu ya uropokaji wa wa kizembe kabisa wa viongozi wasio na maono 🐒
Chama kilichokufa kinajulikana na sasa kinapumua kwa msaada wa dola tu.
Watz wameshakichoka na sasa kinatumia dola na pesa za wavusha jasho kuhonga watuhasa maskini ili kikubalike
 
Viongozi wa chadema wanaovaa kama mgambo ,wameanza kudharauliwa na wananchi ,na kila kukicha wanazidi kuonyesha mapembe yao ,ni wazi siasa hawana na hawaijui, wanahisi kusema mpaka ukatokwa na mishipa ya shingo ndio siasa, huwezi kutongoza ikiwa umekasirika ,sasa unapokuwa tokea mwanzo mpaka mwisho unahutubia kwa muonekano na sauti ya hasira , uelewe wananchi huwa hawasikilizi na kuyatia akilini unayowaeleza bali wanavutiwa na namna unavyo rapu ,wanakufurahia wanakupigia makofi ukidhani wamekuelewa kumbe hapana wanashangilia unavyopiga chenga ,mpira ukimaliza watu wanachawanyika wakisifia ulivyosema bila ya kuyapa umuhimu wa kuyafanyia kazi au kuyatekeleza ,
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
CDM ndio chama pekee kinachoshindana na vyama 18 + dola+Bunge + Mahakama na mamluki wakukodi ndani ya CDM na kinawagalagaza wote
 
Chama kilichokufa kinajulikana na sasa kinapumua kwa msaada wa dola tu.
Watz wameshakichoka na sasa kinatumia dola na pesa za wavusha jasho kuhonga watuhasa maskini ili kikubalike
Yes,
na chama hicho ndio chadema,
Wamemebaki kuropoka tu,

kiongozi wa msaidizi wake wa uropokaji alikamatwa jana baada ya kuskika akitoa harufu kali na mbaya ya bangi na pombe ikabidi asiwekwe korokoroni 🐒
 
Back
Top Bottom