Zaccheaus Mollel
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 176
- 153
This June tutafungua Mall mpya Arusha inayoitwa AIMMall Pale TFA ilipo Nakumat ittakuwa Maghala ya Pembejeo za kilimo kama awali..Vi wonder
Tupia picha kidogoKama wewe ni mteja wa NAKUMAT arusha ukienda kwa sasa kuna hali isiyo yakawaida, shelfu zinaanza kukauka, Nahisi jamaa wanamaliza Stock kwa sababu hata Huko Kwao wamefunga Branch kibao.
Nakumati haikuwa na mtaji, wamekodishia watu washelf. Haina bidhaa toka siku ya kwanza, Shoprite ukweli ilikuwa na bidhaa nyingi Sana na so cheap. Nakumat wanauza bidhaa zinazouzwa na maduka ya mitaani, halafu kwa bei ghali.
Mabinti n vijana ndio wamejazana hpo mlimani city kupiga selfieKwa Kweli kwa Sasa kuna anguko kubwa la biashara YA maduka makubwa na supermarket bongo.... Mfano. Mzuri nowdays mlimani city umeanzaa kupoa watu Hakuna... Kabisaa weekend Nilikua pale nilishangaa kuona mida YA Jion parking za magari ziko empty na CYO kama zamani kukutani jmoc mlimani pamepwaya lazima tujiulize tunakosea wapi