Je, Nakumat Arusha nao wanafunga Biashara?

Kwa Kweli kwa Sasa kuna anguko kubwa la biashara YA maduka makubwa na supermarket bongo.... Mfano. Mzuri nowdays mlimani city umeanzaa kupoa watu Hakuna... Kabisaa weekend Nilikua pale nilishangaa kuona mida YA Jion parking za magari ziko empty na CYO kama zamani kukutani jmoc mlimani pamepwaya lazima tujiulize tunakosea wapi
Mall zimefunguliwa nyingi. Watu wanamaeneo tofauti ya kwenda tofauti na hapo mwanzo.
 
Kwa Kweli kwa Sasa kuna anguko kubwa la biashara YA maduka makubwa na supermarket bongo.... Mfano. Mzuri nowdays mlimani city umeanzaa kupoa watu Hakuna... Kabisaa weekend Nilikua pale nilishangaa kuona mida YA Jion parking za magari ziko empty na CYO kama zamani kukutani jmoc mlimani pamepwaya lazima tujiulize tunakosea wapi
Mkuu, labda na mfungo umechangia. M city ni mahali pa bata full time...
 
Kama wewe ni mkazi wa Arusha na mteja wa NAKUMAT basi ukienda kule kwa sasa utakuta kuna kitu kisicho cha kawaida.

Hawa jamaa either wana malizia stock zao wasepe, shelfu zimeanza kuwa tupu na zingine kuondolewa kabisa, sehemu

Hawa jamaa hata kule Kenya wanayumba sana kwa sasa.
 
Ukweli ni kwamba wanaondoka anachukua mtu mwingine na tayari ashaanza kuleta mzigo wake.
Ujue bisharavya Supermarket kwa Tanzania ni ngumu sana kwa sabanu ya wingi wa maduka rejareja mtaani. Dukani kwa Mangi.
 
Ujue bisharavya Supermarket kwa Tanzania ni ngumu sana kwa sabanu ya wingi wa maduka rejareja mtaani. Dukani kwa Mangi.
Hiyo ni kweli pia ila kwa jamaa biashara ilikuwa nzuri sema Wahindi wanataka mteremko sana
 
Wakianza kutoa discount ya kusafisha store tujuzane na wengine tukafanye ata shopping ya kuagana
 
Nairobi nakumat zote zkofulu. N biashara kwakwenda mbele

Labda wanaaga tz
Acha uongo mkuu,nakumat ile iko karibu na h. sellasie road ishafungwa,nakumat mega Kuna vitu kulikua hakuna,kama unga wa ugali,juncton pia.naskia muwekezaji mwenye shares nyingi amejiondoa according to story za watu.
 
Back
Top Bottom