Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,914
- 43,504
Teh Teh si mlisha sema hapa kuwa Rais hawezi kutengua teuzi zake? Au mmesahau..?Teh Teh..Magufuli anagwaya Makonda hata angesema hawapo asingefanya kitu .
Teh Teh si mlisha sema hapa kuwa Rais hawezi kutengua teuzi zake? Au mmesahau..?Teh Teh..Magufuli anagwaya Makonda hata angesema hawapo asingefanya kitu .
...TZ wizara zote ziko hapa mpaka IKULU IKO HAPA.
Dogo janja siku zake zinaesabika.DOGO JANJA NAE NI WA KUTUMBULIWA TU.
Akiwasilisha ripoti ya watumishi hewa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema katika mkoa wake baada ya kufanya uchunguzi kwa kushirikiana na kamati mbali mbali wamebaini kuwepo kwa watumishi hewa 73 ambao watumishi hao hewa wamepelekea serikali kupotea pesa zaidi ya Milioni 316 kwa mwaka mmoja.
“Katika mkoa huu tumepata watumioshi hewa 73,ila wengi watahoji mkoa huu mkubwa kwanini unakuwa na watumishi hewa wachache,nakata kukwambia Waziri, bado tunaendelea na uchunguzi wa kina”amesema Makonda .
Mkoa wa Arusha.
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Felix Ntibenda amesema katika mkoa huo umegundurika kuwepo na watumishi hewa 270 ambao wamekuwa wakiisababishia hasara serikali ya Bilioni 1.8 kwa kipindi cha Mwaka mmoja.
Mkoa wa Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa John Mongella amesema mkoa wake umengundurika kuwepo kwa watumishi hewa 334.
Mkoa wa Pwani.
Mkuu wa Mkoa huyo, Mhandisi Evarist Ndikilo amesema Mkoa wake umekuwa na watumishi hewa 150 huku akishindwa kusema hasara ya fedha za serikali kwa madai kuwa uchunguzi unaendelea.
Mkoa wa Singida,
Mkuu wa mkoa wa huo,Mhandisi Methew Mtigumwe amesema kuwa wafanyakazi hewa katika mkoa wake,231nakueleza kuwa uchunguzi bado unaendelea ili kubaini zaidi.
BADO NAMTAKAFARI... namtafakur huyu DOGO JANJA na hii idadi yake bado sijaikubali ukizingatia hili jiji ndio kwenye waajiriwa lukuki kuzidi mikoa yote TZ wizara zote ziko hapa mpaka IKULU IKO HAPA.
From shoeshiner to lifeshiner, only in Tanzania.Ngoja niangalie kwanza ile sinema ya Lugumi nitarudi sasa hivi
ni wa kutumbuliwa tu muda ukifikaameshasema uchunguz unaendelea lakin mijitu imegoma kuelewa
Ulisikiliza kauli ya Kilango?, alisema exactly alichosema makonda kuwa zoezi ni endelevuMakonda mjanja sana amesema wataanza upya na zoezi endelevu! Ame cover forever! Mama Kilango alisahau kusema ni endelevu! Hata wa Mwanza ameagiza waanze upya!