Je, kuna athari yoyote naweza pata nisipofanya mapenzi?

Huyo mwanaume alikuwa na bikra ya wapi?wanaume hawana bikra,kuwa bikra ni ule utepe kuzuia kitu(dushelele au kidole au tango au ndizi)kisiingie kkawanamke,kipimo ni kwamba kitu kikipita free kuingia kwenye papuchi au 0713...... bikra haipo,sasa huyu mwanaume kipimo ni nini cha hyo bikra yake hadi itangazwe?ni kusema tu?haya nasema serena ni yangu!
Tukitumia lugha ya kuazima kidogo ndo inaeleweka...
Ukisema mtu ni VIRGIN ambayo imetafsiriwa kua "bikira" inamaanisha mtu yeyote wakike au wakiume ambae hajawai fanya mapenzi. Kwa mwanamke ni rahisi kugundua kama ni virgin kwa sababu ya uwepo wa HYMEN ambayo ndo unaita "utepe". Ila neno bikra neno virgin ni kwa jinsia zote mbili.
 
Kwani wewe plan yako ya kuanza mambo ya kikubwa, umepanga uanze lini? na unatarajia uanze na mke wa ndoa au yeyote utakayeguswa naye kumuonyesha nyeti zako?
Swali zuri sana ndugu yangu,,,,. Nimepanga nianze nikiwa na Umri wa kati ya miaka 27 - 30,,,. Ndani ya Ndoa, japokua yasemekana ni vigumu kwa kijana mdogo kama mimi kuishi ndani ya Ndoa,,, But ntamwomba Mwenyezi Mungu aniongoze katika hilo...
 
hakuna tatizo mkuu ,.. sema tu siku ya kwanza ukiona uke wa manamke utachachawa sana na uanaweza kupee ukigusa tu kichwa,.. kingine unaweza kulia kwa kuzidiwa utamu.. pia unaweza kuwa fuska baada ya kujua utamu wa pipi...
Ok thanks, sasa nawezaje kujizuia na hali hiyo ya UFUSKA??
 
Nina umri wa miaka 23 sasa, sijawahi kufanya mapenzi tangu nizaliwe, na sina tatizo lolote. But, nina hisia kama kawaida na nasimamisha pia. Najua hapa Kuna watu wengi wenye ufahamu juu ya hili.

Je kuna hatari yoyote inaweza kunikuta baadae? Sihitaji matusi wala kuzalauliwa, kama huwezi kutoa ushauri, unaweza kupita tu.

Nahitaji ushauri wenu,

Kijana piga kazi. Ikisimama maana yake inabidi iingie panapotakiwa ilimradi uwe na kinga.
 
Safi sana mtu wangu hivyo ndivyo Mungu anapenda watu wake tuishi sema wengine tulikuwa na kihelehele cha kufanya mapenzi kabla ya ndoa, jikaze hivyo hivyo mpaka utajapo owa na kabla ya kuowa mchukue mwenzio mkapime kwasababu najua watu kama nyie shetani anawamezea sana mate asije akakualibia mwishoni. Hakuna tatizo lolote kiafya utakalo pata kwa kuchelewa kusex laki kuna faida kedekede kwa kuchelewa kwako kama Kutokuishi na mashaka kama unangoma au la??? Asikimia kubwa ya watu wana mashaka na afya zao hawaishi kwa amani bola wewe ndugu. Jikaze hvyo hvyo wala usijione mshamba wewe ndio mjanja
Thanks bro..., Naamin Mungu yu Pamoja nami....
 
safar ya matumain ataikwea......hongera boy
ila kuna theory ya evolution kama sikosei iliyo sababisa mpaka leo twiga ana shingo ndefu na bata kaota web miguuni
Nakumbuka sana hyo Theory ya "Use and Dis-Use" c ndiyo mkuu? Mungu atasaidia mkuu kwan hakuna kinachoshindikana juu yake
 
Wanaume ambao hawajamiiani mara kwa mara, wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata saratani ya tezi dume
Kwa nilivyo-elewa mimi hapo ni kwamba, kama umejamiiana mwez wa kwanza then ukakaa had mwez labda wa 11, mtu kama huyo Ana uwezekano mkubwa sana wa kupata saratani na cyo kwa wacyofanya kabisa
 
Back
Top Bottom