Je, kuna athari yoyote naweza pata nisipofanya mapenzi?

Kwani wewe plan yako ya kuanza mambo ya kikubwa, umepanga uanze lini? na unatarajia uanze na mke wa ndoa au yeyote utakayeguswa naye kumuonyesha nyeti zako?
 
Safi sana mtu wangu hivyo ndivyo Mungu anapenda watu wake tuishi sema wengine tulikuwa na kihelehele cha kufanya mapenzi kabla ya ndoa, jikaze hivyo hivyo mpaka utajapo owa na kabla ya kuowa mchukue mwenzio mkapime kwasababu najua watu kama nyie shetani anawamezea sana mate asije akakualibia mwishoni. Hakuna tatizo lolote kiafya utakalo pata kwa kuchelewa kusex laki kuna faida kedekede kwa kuchelewa kwako kama Kutokuishi na mashaka kama unangoma au la??? Asikimia kubwa ya watu wana mashaka na afya zao hawaishi kwa amani bola wewe ndugu. Jikaze hvyo hvyo wala usijione mshamba wewe ndio mjanja
 
Kifaa chochote ambacho kipo kwa ajili ya matumizi, kikiachwa kwa muda mrefu bila matumizi kinapungua ufanisi na kupelekea kuharibika kabisa...
Uko sahihi...Cha dogo bado hakijaingia kwenye matumizi kwa hiyo bado kipya kabisa na ufanisi una guarantee
 
Back
Top Bottom