4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 7,534
- 8,753
Anzisheni chama, tumechoka na kelele za kijinga, chedema ni dude kubwa sana wala haitaji ungana na vyama mfu kuiondoa ccm madarakaniSehemu kama Mbeya tangu enzi za kina Anangisye waliompinga Nyerere mfumo wa chama kimoja ilibidi kuwe na chama maana wamesha proove kupaza sauti na kuwa na uthubutu wa kuidindia serikali pale mambo yanapokua si sawa with exception za wachache hawa waoga waoga kina Tulia.
Sakata hili la bandari pekee wamekuja kina Mwabukusi, kuna huyu alieimba wanatuona manyani, kuna mawakili kibao walioenda kututetea kesi ya bandari.
Chadema isiwe kimbilio pekee, ni bora kuwe na chama cha ziada kwenye maeneo yanayozalisha wanaharakati consistently na wala sio ukanda.
Na huko Mara kuwepo chama cha ziada ili kuongeza upinzani... Kukiwa na vyama vingi vyenye watu wanaoleta upinzani wa kweli vikiungana tutapiga hatua,